Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Hizi ndoa za miaka hii zinatisha!! Hapo mke anasumbuka kujitibu mayutiayi yasiyoisha kumbe mume anafanya vitu vya hovyo 😏

Huyo mwanamke aondoke kabla na yeye hajafanyiwa uharibifu mxiewwww!!!
anaondokaje wakati jamaa bado anampenda
 
Hakuna cha rafiki yako wala nani. Ni fikra zako tu za kipuuzi unazotuletea ili kupima reactions za watu. Halafu members wenzangu wa jukwaa, threads chafu kama hizi tuwe tunazipiga mawe ili waletaji wakome kabisa.
kama bado hayajakufika huezi kuelewa
 
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.

Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.

Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Sababu inayotolewa ya kuvunjwa kwa ndoa hiyo haina mashiko,
na kwahivyo suluhu mujarabu na muafaka sana ni kwamba,
wana ndoa hao waketi chini pamoja na kiungwana waweze kurekebisha tofauti zao, waonyane kwa upendo na waendelee kuishi kwa pamoja kwa amani, na kunusuru usumbufu, mahangaiko na fedheha watakazo pata watoto na familia kwa ujumla mbele ya jamii inayowafahamu na inayowaxunguka....
 
Umeongea ujinga
Huyo mwanaume hawezi kuacha hiyo mitabia yake michafu. Hata wakiyaongea hatoacha
 
umesomeka mkuu ubarikiwe sana
 
Hakunaga kakinyaa cha kugusa mafi ya mtu mwingine! Au kuna siri gani huko matopeni
 
Umeongea ujinga
Huyo mwanaume hawezi kuacha hiyo mitabia yake michafu. Hata wakiyaongea hatoacha
ushahidi wa meseji hautoshi kuthibitisha tuhuma hizo pasina shaka, mtumishi mama mchungaji,

Hakuna mahali watatoa baraka kuvunjwa kwa ndoa hiyo kwa sababu ya meseji whether ni kanisani, msikitini au mahakamani......

Utatolewa wito wa kuyamaliza nyumbani tu na kwakweli ndio ukweli na ungwana....

Kwako Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu....
 
Mwanamke anayekimbilia kuvunja ndoa baada ya kuhisi mumewe ana mcheat, ni wa kumsaidia avunje hiyo ndoa lakini usisahau kumweleza mjukuu aitwaye majuto
sure mkuu,
fedheha na mahangaiko, unnyonge wa kisaikolojia kwa watoto wa kike na kiume wa familia zinazokumbanaga na kadhia hii hua ni hadi kaburini , achilia mbali majuto ya wahusika wakuu
 
ushahidi wa meseji hautoshi kuthibitisha tuhuma hizo pasina shaka, mtumishi mama mchungaji,

Hakuna mahali watatoa baraka kuvunjwa kwa ndoa hiyo kwa sababu ya meseji whether ni kanisani, msikitini au mahakamani......

Utatolewa wito wa kuyamaliza nyumbani tu na kwakweli ndio ukweli na ungwana....

Kwako Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu....

Ushahidi gani tena unataka? Hiyo msg kaikuta kwenye simu ya mumewe na kakiri ni kweli.

Ndoa inavunjwa kwa dhambi ya uasherati, itakuwa huyo aliyevuka mpk kafika Sodoma!!!
Hiyo tabia yake ni talaka tosha, labda km mwanamke aamue kubaki kwa ridhaa yake.
 
Umeongea ujinga
Huyo mwanaume hawezi kuacha hiyo mitabia yake michafu. Hata wakiyaongea hatoacha
Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,

Kwa njia ya maombezi, baraka na neema za Mungu ataacha hiyo chafu kama ni kweli alikua akishiriki huo ufirauni, ni mbaya sana na ni chukixo mbele za Mungu.

Jambo muhimu sana ni kwamba, Kwa nguvu za Roho Mtakatifu hakuna lisilo wezekana kwa Mungu...

Malebo alikua jambazi na ameacha ujambazi na sasa ameokoka anamtangaza Yesu Kristo...
Hebu Mpigie Yesu makofi ya kilo, maana yote ya wezekana mbele zake kwa Imani....
 
ushahidi wa meseji hautoshi kuthibitisha tuhuma hizo pasina shaka, mtumishi mama mchungaji,

Hakuna mahali watatoa baraka kuvunjwa kwa ndoa hiyo kwa sababu ya meseji whether ni kanisani, msikitini au mahakamani......

Utatolewa wito wa kuyamaliza nyumbani tu na kwakweli ndio ukweli na ungwana....

Kwako Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu....
mkuu itakuwa umesomea sheria bila shaka maana sio bure una madini adhimu sana🙌
 
Back
Top Bottom