Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Kwanza uyo mwanamke hakufunzwa mkoleni tabia ya kusomasoma mameseji simu ya mme wake iyo mbaya sana juzi kati kuna mwanamke amejiua kwa tabia hizo. Wito kwa wamama wote acheni kuchunguza simu ya mumeo utakufa kwa presha
 
Oooh kwaiyo tumlaumu na kumkemea vikali uyo bibie aache kusoma meseji za sim ya baba au sio?
 
Umeongea ujinga
Huyo mwanaume hawezi kuacha hiyo mitabia yake michafu. Hata wakiyaongea hatoacha
Yaani achepuke , zaidi awe anamfanya mtu kinyume, huyo ningeachana naye mapema. Unajaziwa mauchafu kwenye K, asubirie kansa ya huko chini.
 
Naam, Kiislam hiyo inaitwa "khuluu".

Uislam ulimpa haki mwanamke miaka zaidi ya 1,400 nyuma ambazo mwanamke asiye Muislam hazioti mpaka leo hii.

Uislam ni mwema sana.
Kisheria hairuhusiwi. Wanakupa barua unaenda mahakamani maana hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
 
Unaongelea nani "wanakupa barua"?
Unaenda Bakwata, mimi nilifanya hiyo process ya kuomba talaka, nikarudisha mahari lakini wakaniambia hawawezi kuvunja maana hawana mamlaka. Ikabidi wanipe barua kwenda mahakamani.
 
1 Wakorintho 6:9

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
 
Back
Top Bottom