Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.

Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.

Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Nae amjaribishe.....
 
sema ni aibu saan,watoto wanafaham baba anatifua mitaro pemben[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.

Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.

Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Wanajua namna ya kumaliza wenyewe, waache watu na mambo yao
 
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.

Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.

Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
are you serious? Mtu hawezi kumpenda mkewe na kumheshimu halafu awe na mchepuko, NEVER!!!!!!
 
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.

Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.

Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Asikuambie mtu hapo ni kwerekweche,mtu kapewa uzazi wa mpango lazima adate
 
Back
Top Bottom