Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sijui watu wanashawishika na nini mpaka kufika mbali kote hukoEndelea kuperuzi tu utaziona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui watu wanashawishika na nini mpaka kufika mbali kote hukoEndelea kuperuzi tu utaziona
Kwakweli inafikirisha sana,, sema ndo hivyo hatuna namna vijana ndo hawaelewi nowadays 🤦♀️Sijui watu wanashawishika na nini mpaka kufika mbali kote huko
Binafsi huwa roho inauka sana na unakuta ni visichana vidogo tu vimeharibikiwa na kurekod hiz habar za kuliwq mitaro..Kwakweli inafikirisha sana,, sema ndo hivyo hatuna namna vijana ndo hawaelewi nowadays 🤦♀️
Kwann ufikiri hivyo na je akilipa kisas si ni kinyeo chake ndio kinakua kinachakazwa? Au ndio hii hasira hasara!!! Yan ukalipe kisas kwa kutinduliwa na wewe mtaro wakat unayemlipiza kisas walaaa haathiriknchochote zaid zaid akijua tu hanar yako ndio imeishia hapo...Wa kuondoka haombi ushauri, huyo mdada hana safari ila la muhimu ni kuwa atalipa kisasi, hilo liweke akilini
Hua najiulizaga hawana wazazi au ni nini,, maana kwa jinsi wazazi wangu walivyo nadhani wakijua wanaweza kunikata kichwa 😃🤦♀️Binafsi huwa roho inauka sana na unakuta ni visichana vidogo tu vimeharibikiwa na kurekod hiz habar za kuliwq mitaro..
Ahahahah..hawatajua, usiogopeHua najiulizaga hawana wazazi au ni nini,, maana kwa jinsi wazazi wangu walivyo nadhani wakijua wanaweza kunikata kichwa 😃🤦♀️
Nimechukulia mfano wa hao mabinti wadogo wanaorekodi😃😃, kwa umri huu sidhani kama nahitaji hadi msukumo wa wazaziH
Ahahahah..hawatajua, usiogope
TEh teh teh...hayaa ..usijaribu, nasikia ni uraibu uleNimechukulia mfano wa hao mabinti wadogo wanaorekodi😃😃, kwa umri huu sidhani kama nahitaji hadi msukumo wa wazazi cause I know kipi ni kizuri na kipi ni kibaya
Kwakweli Mungu aendelee kunitunza, nisije kuharibikiwaTEh teh teh...hayaa ..usijaribu, nasikia ni uraibu ule
MUngu kashamaliza kaz yake kwa ulipofikiaKwakweli Mungu aendelee kunitunza, nisije kuharibikiwa
Bado vishawishi ni vingi sanaMUngu kashamaliza kaz yake kwa ulipofikia
kumradhi wakuuIf you can"t beat them join them
Ni kwel lakiniBado vishawishi ni vingi sana
Bado nahitaji ulinzi wa MunguNi kwel lakini
Shida ni kasamvu hawezi acha labda mpaka aje apigwe bombaJirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.
Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.
Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
na ulinzi wako zaid pia. Vijana wako curious sana..kujarib jaribBado nahitaji ulinzi wa Mungu