Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.

Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.

Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Mwanaume mmbea huwa hakawii kuliwa kiboga umeombwa ushauri kimekutuma nn kuleta habari huku asee au ww huwez shauri?
 
Wameowana ndoa ya dini ipi?

Kama ni Uislam hapo, mwanamke anatowa yeye talaka (khuluu), sifahamu imani zingine kuhusu uzinifu hukumu yake ni nini?

Juzi nilipokeo huu ujumbe kutoka kwa ndugu yenu muislam. Inaonekana hili jambo limekudhiri kwenye ibaada zenu.

Note: Ndoa ni ibaada

"Ukiwa kama mwislam mwenzangu leo hiii nakuhusia na kuihusia nafsi yangu kuto kujaribu kuwa miongoni mwa kuingilia mtu kinyume na maumbile (UFIRAJI)

KWANI SISI SOTE TUNAJUA ADHABU YA ATAKAYE FANYA HIVYO NI KUULIWA
SASA SIJUI WEWE MWENZANGU KAMA UNAFANYA HIVYO UTAKUWA MGENI WA NANI HAPO AKHERA KAMA KWA DUNIANI TUU ADHABU NI YA KIFO 😭

TUKUMBUKE PIA HAUTAFUFULIWA NA UMMA WA MUHAMMAD BALI NA ULE UMMA ULIO ANGAMIA😔

BADILIKAA SASA BADO WAKATI UNAO
KAMA HUAMINI NGOJEA UFE 😒

Mtumie na muislam mwenzio unae mpenda ili ajirekebishe / asiingie katika mkumbo huo"
 
Back
Top Bottom