Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

kumradhi wakuu

nilitoka kidogo kwenda kwa mkalimani wangu ninayemwamini kuulizia tafsiri sahihi ya huu ung'eng'e uliowekwa hapa na mdau Demi maana sisi wengine tulisomea chini ya minazi.

mkalimali kasema eti huyo bimkubwa anaambiwa aache uji.nga na yeye atoe, tena atoe kwa viwango vilevile kama vya kule au ikiwezekana viwe zaidi.

na kama akiona jamaa anagomagoma basi amtegeshee hadi ajikute tu mwenyewe yupo ndani anarahaika! na kama jamaa akiendelea kukataa basi asisite kumng'ata maana hii ishakuwa ishu ya kufa na kupona.

akaongezea eti bimkubwa anaonywa aache ukurumbembe wa kupekuapekua simu ya baba kwani hajafundwa kuwa simu ya baba ni rasmi kwa matumizi ya baba pekee na ile ya mama ndo ya familia!

apa nimechoka hoi wakuu😌
Hebu mlete hapa huyo mkalimani atueleze vizuri maana inawezekana hujafikisha vizuri ujumbe labda kuna maneno umeyaacha🤣🤣
 
Wanasema mtu aliezoea kufirwwa/ kufirra hawezi acha kirahisi nikama wanakua addicted!

So sad!
 
Niliacha kuingia MMU kwa miaka miwili au zaidi kwsbb niligundua kuna story nyingi za kutungwa au kushabikia Dhambi hii mbaya na laana

Kumbe bado kuna watu wanapigia debe ufiraji
 
Kujiendekeza tuu mbona kule kwa Bibi kunatumika poa tuu shida ni Bibi afike na Babu afike Juu. Au mimi Ndio mshamba mazee
Baki hivyo hivyo siku utakayogundua mkeo au mpenzi wako anapakuliwa ndio utakapojua kuwa walinwengu si watu
 
Hizi ndoa za miaka hii zinatisha!! Hapo mke anasumbuka kujitibu mayutiayi yasiyoisha kumbe mume anafanya vitu vya hovyo [emoji57]

Huyo mwanamke aondoke kabla na yeye hajafanyiwa uharibifu mxiewwww!!!
UTI haiambukizwi
 
Watu na matopeni kama yanga..... tope kama tope....
FB_IMG_16477667801078125.jpg
 
Hii stori bila shaka inakuhusu wewe mkuu ila umejaraibu kuigeuza ila kuna dalili zote za hii ndoa kupinduka
 
Back
Top Bottom