mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
- Thread starter
-
- #21
anaondokaje wakati jamaa bado anampendaHizi ndoa za miaka hii zinatisha!! Hapo mke anasumbuka kujitibu mayutiayi yasiyoisha kumbe mume anafanya vitu vya hovyo 😏
Huyo mwanamke aondoke kabla na yeye hajafanyiwa uharibifu mxiewwww!!!
wameshazaa watoto wako masekondari uko, hatma ya watoto itakuwaje?Waachane tu
kama bado hayajakufika huezi kuelewaHakuna cha rafiki yako wala nani. Ni fikra zako tu za kipuuzi unazotuletea ili kupima reactions za watu. Halafu members wenzangu wa jukwaa, threads chafu kama hizi tuwe tunazipiga mawe ili waletaji wakome kabisa.
Angekuwa anampenda asingekuwa na mitabia ya hovyoanaondokaje wakati jamaa bado anampenda
izo segedansi zingine anafanya na mchepuko uko nje sio mkeweAngekuwa anampenda asingekuwa na mitabia ya hovyo
Yani we acha tu jirani... inafikirisha sana😌Kuna watu hawana hata uoga sijui kwanini??
Hata wanyama hawafanyi vitu vya ajabu 😏
Ni watu wazima maana yake🤔🤔wameshazaa watoto wako masekondari uko, hatma ya watoto itakuwaje?
Sababu inayotolewa ya kuvunjwa kwa ndoa hiyo haina mashiko,Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.
Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.
Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Ujinga mtupu na nina wasiwasi ni wewe, maana umeshupalia km ni jambo zuri limefanyika. Hivi ingetokea ni mkewe anafanya hivo uko nje ungeongea hayo unayoongea??izo segedansi zingine anafanya na mchepuko uko nje sio mkewe
Umeongea ujingaSababu inayotolewa ya kuvunjwa kwa ndoa hiyo haina mashiko,
na kwahivyo suluhu mujarabu na muafaka sana ni kwamba,
wana ndoa hao waketi chini pamoja na kiungwana waweze kurekebisha tofauti zao, waonyane kwa upendo na waendelee kuishi kwa pamoja kwa amani, na kunusuru usumbufu, mahangaiko na fedheha watakazo pata watoto na familia kwa ujumla mbele ya jamii inayowafahamu na inayowaxunguka....
umesomeka mkuu ubarikiwe sanaSababu inayotolewa ya kuvunjwa kwa ndoa hiyo haina mashiko,
na kwahivyo suluhu mujarabu na muafaka sana ni kwamba,
wana ndoa hao waketi chini pamoja na kiungwana waweze kurekebisha tofauti zao, waonyane kwa upendo na waendelee kuishi kwa pamoja kwa amani, na kunusuru usumbufu, mahangaiko na fedheha watakazo pata watoto na familia kwa ujumla mbele ya jamii inayowafahamu na inayowaxunguka....
ushahidi wa meseji hautoshi kuthibitisha tuhuma hizo pasina shaka, mtumishi mama mchungaji,Umeongea ujinga
Huyo mwanaume hawezi kuacha hiyo mitabia yake michafu. Hata wakiyaongea hatoacha
sure mkuu,Mwanamke anayekimbilia kuvunja ndoa baada ya kuhisi mumewe ana mcheat, ni wa kumsaidia avunje hiyo ndoa lakini usisahau kumweleza mjukuu aitwaye majuto
ushahidi wa meseji hautoshi kuthibitisha tuhuma hizo pasina shaka, mtumishi mama mchungaji,
Hakuna mahali watatoa baraka kuvunjwa kwa ndoa hiyo kwa sababu ya meseji whether ni kanisani, msikitini au mahakamani......
Utatolewa wito wa kuyamaliza nyumbani tu na kwakweli ndio ukweli na ungwana....
Kwako Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu....
Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,Umeongea ujinga
Huyo mwanaume hawezi kuacha hiyo mitabia yake michafu. Hata wakiyaongea hatoacha
mkuu itakuwa umesomea sheria bila shaka maana sio bure una madini adhimu sana🙌ushahidi wa meseji hautoshi kuthibitisha tuhuma hizo pasina shaka, mtumishi mama mchungaji,