nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Rejea kichwa cha habariKwenda kufanya nn,mpe muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea kichwa cha habariKwenda kufanya nn,mpe muongozo
Nilikuwa natafuta hii comment, hapo ni kuzidisha maombiMnahitaji msaada wa kiroho hpo mkuu, hakuna njia nyingne
Nicheki pmNashukuru kwa ushauri wako ila Waganga wengi waongo kumpata mkweli ni kazi , namtegemea Mungu kuna siku atasikia kilio chetu.
Mungu hawezi kukusikia kama wew huwasikii washauri ambao ni binadamu wenzako, unataka Mungu aseme na wew , kwa njia gani?Nashukuru kwa ushauri wako ila Waganga wengi waongo kumpata mkweli ni kazi , namtegemea Mungu kuna siku atasikia kilio chetu.
Mungu hanaga majibu achen kumtwisha matatizo ambayo mmepewa akili muyatatuweUmemuuliza Mungu ? maana yeye ndie mtoa watoto.
Hii kitalamu inaitwa Rhesus factor hii Hali hutokea ikiwa mwanamke atakua na group la damu (A,B, AB, 0 negative) na mwanaume akiwa na positive...............Je, damu zenu ni group ipi kwa ipi?
Nimekuelewa sana mkuu ngoja nijaribu uko.Mungu hawezi kukusikia kama wew huwasikii washauri ambao ni binadamu wenzako, unataka Mungu aseme na wew , kwa njia gani?
Jaribu Tiba za mitishamba, tafuta wale madactari wa dawa za asili, huko hospital utapoteza muda wako na pesa zako hutoona maajabu, tafuta watabibu anza kusikiliza redio kuna vipindi huwa wanajitangaza, achana na wale wa namba za mabango hawa waongo, tafuta wa uhakika.
Nimekupata mkuu ila mke ana O positive.Hii kitalamu inaitwa Rhesus factor hii Hali hutokea ikiwa mwanamke atakua na group la damu (A,B, AB, 0 negative) na mwanaume akiwa na positive...............
Ikiwa ivyo
Itabidi mkewe awe anachoma ANT D Injection dactar atashaur iwe early wakati wa ujauzito na ama kabla ya masaa 72 baada ya kujifungua....
Ant D Injection wholesale price 120,000 mpak 135,000 huko hospital wanachoma Kwa 200,000 mpaka 250,000
Nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior Kwa Sasa ni hayo.....
Pia anaweza ku chimba deep Kuna wadau wengi wa afya humu ndani wamewai kielezea humu Jf anaweza ku search...
Mm naogopaga sana mtoto wa dawa sijui Kwa mtaalamu mganga na hata hospital wa kumeza sawa za kupevusha mayai primolut N tabs and So and so....Njoo PM nikupe namba za mtaalamu aliemsaidia mpenzi wangu nilietafuta nae mtoto tangu 2018 bila bila ila huyu Bibi hata mwezi dawa zake hazijafikisha UPT positive. (nataman wawe mapacha 6)
Nilitaka kumwambia hili umeniwahi, niliwahi kupata hili tatizoJe, damu zenu ni group ipi kwa ipi?
Ilipotoka ya pili tuliambiwa tukae miezi 6 kweli tulikaa na ikapita 8 akapata ujauzito uliokaa mwezi mmoja tu ukatoka. Sasa pressure kubwa kutoka watu wanaotuzunguka kuwa ni muda mrefu kwenye ndoa hakuna mtoto kila mwezi tunatafuta mimba ndo hyo haipatikan.Mwaka mmoja na nusu mimba 3. Mpumzishe mkeo. Kaeni angalau 2 years bila kushika ujauzito kizazi kibane vizuri.
Wote tuna rhesus factor positiveNilitaka kumwambia hili umeniwahi, niliwahi kupata hili tatizo
Namwamini sana mke wangu ,na hakuwa na sababu ya kunificha chochote. Naamini mimba yangu ilikuwa ya kwanza katika maisha yake, muda wote alikuwa anafuraha nikama mimba ile ilikuwa lulu kwake, ata kuna siku niliona chatting na marafiki zake wakubwa wakimwambia mi nimemuweza mpaka kapata mimba.ndivyo alivyokwambia mimba yake ya kwanza kaipatia kwako?au unahisi
Miaka 27 mwezi wa 12 anatimiza miaka 28.Mimi swali langu mkeo ana umri gani ?
Wanawake wana prime age zao za uzazi bila changamoto