Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

Miaka 27 mwezi wa 12 anatimiza miaka 28.
Namwamini sana mke wangu ,na hakuwa na sababu ya kunificha chochote. Naamini mimba yangu ilikuwa ya kwanza katika maisha yake, muda wote alikuwa anafuraha nikama mimba ile ilikuwa lulu kwake, ata kuna siku niliona chatting na marafiki zake wakubwa wakimwambia mi nimemuweza mpaka kapata mimba.

Marafiki zake wanamwambia umemuweza mpaka kapata mimba?

Hii sentensi inaonesha mkeo alikuwa mjanja mjanja sana huko nyuma maana marafiki zake wanamjua vizuri ndio maana wamesema hivyo
 
Hayo maisha yake ya zamani siwezi kuyajudge , ila alinieleza kabla yangu alikuwa na mtu wake muda mrefu na wakaachana mana alimtenda sana, akakaa miaka 5 single bila ya kuwa na mtu kwa kuwa hakuwaamini wanaume, ndipo nikakutana nae na watu wengi waliniuliza ulimpatajepataje kwa jinsi alivyokuwa mgumu. Ni mwanamke ana msimamo sana.
 
Kuna binti tulipishana kidogo miezi ya hivi karibun akaamua kutoa mimba yangu aisee, nkiwazaga na changamoto km Hz huwa navurugwa balaa...
kama wewe nitajiri inatakiwa umlaumu ila kama ungaunga mwana uterus hazigomagi kupokeaimba utapata matoto mengitu chamsingi tafuta chakula
 
Hayo maisha yake ya zamani siwezi kuyajudge , ila alinieleza kabla yangu alikuwa na mtu wake muda mrefu na wakaachana mana alimtenda sana, akakaa miaka 5 single bila ya kuwa na mtu kwa kuwa hakuwaamini wanaume, ndipo nikakutana nae na watu wengi waliniuliza ulimpatajepataje kwa jinsi alivyokuwa mgumu. Ni mwanamke ana msimamo sana.

Na wewe ukaamini[emoji26].
 
Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu.

Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka.

Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa kwa muda wa miezi 2 ukatoka.

Akapata ujauzito kwa mara ya tatu huu ulikaa kwa muda mwezi mmoja tu ukatoka yani tulivyopima ujauzito haikupita siku 3 ukatoka.

Tukienda hospitali zenye specialist wa masuala ya uzazi wanampima na wanasema hana tatizo lolote.

Sasa imekuwa ngumu kupata ujauzito na sijui tatizo ni nini? Yaani kila mwezi anaonesha dalili za ujauzito ila ukipima hamna kisha anaingia kwenye siku zake.
Acha kuzubaa wewe hivi kwenu hamna wazee, washangazi, wabibi, tumia akili kuoa na kuolewa ni vita acha kujifungia
 
Noma linaanzia hapo hio ngumu kumeza hakuna mwanamke wa hivyo muulize vizuri akuelezee vizuri
Watoaji wa mimba unampeleka kwa mtaalamu wa kutoa mimba atakupa majibu, historically yawezekana ashatoaga sana mimba akaharibu mfumo wa puto ama jokofu la mtoto kwa tumbo
 
Pole sana, mkuu mke wako hata kama ukienda hospitali yoyote utaharibu pesa yako bure, mke wako ni mzima kabisa na hana tatizo lolote la uzazi, ila mke wako Ana shida moja kubwa ndo hii!, mke wako ameolewa na majini haba na Ana watoto huko, hivyo yule mme wake wa kiroho (jini) hataruhusu wewe kuzaa naye! Kwa kuamini hiki mkuu nenda muulize maswali haya kuprove hiki ninachokuambia
1: muulize kama amewahi kuota anafunga ndoa kwenye ndoto( kama amewahi) maanake huyo ndiye mme wake jini
2: kama amewahi kuota anajifungua kwenye ndoto (kama amewahi basi Ana watoto kwenye ulimwengu mwingine)

3: muulize kama amewahi kuota ananyonyesha mkuu, kama jibu ni ndiyo basi ni tatizo hilo pia

4: muulize kama anaota anafanyq mapenzi kwenye ndoa na mwanaume asiyemjua

5: amewahi kuota yupo mtoni au anaogelea kwenye maji

6: akishika ujauzito mimba kabla kutoka siku moja kabla au hata siku mbili kabla kuna ndoto anaiota inahusiana na hiyo mimba mwambie akuambie hiyo ndoto!!

akikupa majibu hayo mkuu! Njoo inbox au nipigie kwa namba hii nikupe suluhisho la jambo hilo, nakuhakikishi mwakani majira kama haya utakuwa na mtoto
+255621750737

Note mkuu hiki ninachokuambia ni uhalisia, mimba kutoka hasa kwa kizazi chetu ni kawaida kama kuna tatizo, lakini sio mimba kutoka mfululizo, hiyo sio kawaida!!
 
Watoaji wa mimba unampeleka kwa mtaalamu wa kutoa mimba atakupa majibu, historically yawezekana ashatoaga sana mimba akaharibu mfumo wa puto ama jokofu la mtoto kwa tumbo
Kupata mimba hapo ntolee
 
Pole sana, mkuu mke wako hata kama ukienda hospitali yoyote utaharibu pesa yako bure, mke wako ni mzima kabisa na hana tatizo lolote la uzazi, ila mke wako Ana shida moja kubwa ndo hii!, mke wako ameolewa na majini haba na Ana watoto huko, hivyo yule mme wake wa kiroho (jini) hataruhusu wewe kuzaa naye! Kwa kuamini hiki mkuu nenda muulize maswali haya kuprove hiki ninachokuambia
1: muulize kama amewahi kuota anafunga ndoa kwenye ndoto( kama amewahi) maanake huyo ndiye mme wake jini
2: kama amewahi kuota anajifungua kwenye ndoto (kama amewahi basi Ana watoto kwenye ulimwengu mwingine)

3: muulize kama amewahi kuota ananyonyesha mkuu, kama jibu ni ndiyo basi ni tatizo hilo pia

4: muulize kama anaota anafanyq mapenzi kwenye ndoa na mwanaume asiyemjua

5: amewahi kuota yupo mtoni au anaogelea kwenye maji

6: akishika ujauzito mimba kabla kutoka siku moja kabla au hata siku mbili kabla kuna ndoto anaiota inahusiana na hiyo mimba mwambie akuambie hiyo ndoto!!

akikupa majibu hayo mkuu! Njoo inbox au nipigie kwa namba hii nikupe suluhisho la jambo hilo, nakuhakikishi mwakani majira kama haya utakuwa na mtoto
+255621750737

Note mkuu hiki ninachokuambia ni uhalisia, mimba kutoka hasa kwa kizazi chetu ni kawaida kama kuna tatizo, lakini sio mimba kutoka mfululizo, hiyo sio kawaida!!
Kati 1 hadi 6 hakuna alichokiota ndoto pekee aliota ni kwamba kwenye ndoto kama alikuwa omeondoka nyumbani wakati anarudi anamuuliza mtoto wake kindoto baba yako yupo? Ni mtoto wa miaka kama 6.
 
Je ana tabia ya kula kula madawa kila atakaposikia tumbo linamuuma ama shida nyingine bila kuenda hospital? Kuna wanawake akiumwa kidogo tu bila kwenda hospital anakimbilia kwenye ma fragil na Cipro apo mimba lazima itoke
Mgumu kunywa dawa.
 
Mungu hawezi kukusikia kama wew huwasikii washauri ambao ni binadamu wenzako, unataka Mungu aseme na wew , kwa njia gani?
Jaribu Tiba za mitishamba, tafuta wale madactari wa dawa za asili, huko hospital utapoteza muda wako na pesa zako hutoona maajabu, tafuta watabibu anza kusikiliza redio kuna vipindi huwa wanajitangaza, achana na wale wa namba za mabango hawa waongo, tafuta wa uhakika.
Muda mwingine huwa linanijia swala la kwenda kwa waganga wa kienyeji manaa kabla kuwa na uyu mke wangu nilikuwa na mwanamke ambaye nilimuacha kwa kuwa tulishindwana kitabia na mambo mengi, hakuwa ameridhika nadhani mpaka sasa anakinyongo na mimi .
 
sperm dhaifu laweza kua tatizo
Sawa nitajaribu kufuatilia hilo japo sidhani, mana mimi nina watoto ambao niliwapata kabla ya kukutana na mke wangu na pia mimba nyingi nimetungisha kwa wanawake tofauti tofauti sema walizitoa kwa sababu zao, na hata nilipokuwa na mke wangu alikaa mwezi mmoja tu akawatiyari ameshika ujauzito.
 
Back
Top Bottom