Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Hapa masingo mama watatetea kwa nguvu zote, moja ya mambo yanayoongeza umaskini kwenye familia zetu ndio haya kubebeshana mizigo ya watu wengine,
Mama yangu aliacha biashara ili alee watoto wa mdogo angu, wazazi wetu wamekua mahausigeli sababu ya yetu sisi wanashindwa hata kufanya mambo yao ya msingi.

Mkuu naona wamekutoa kwenye hoja yako ya msingi kua kama mtoto ana baba na yupo kwanini aje ashinde kwako, hapo mwenye mtoto anakula raha tena pengine na huyo mwenye mtoto lkn mzigo wanakusukumia wewe.
 
Tatizo mnachukulia poa sana, mimi siwezi kulea mtoto wa mtu mwingine kama wazazi wake wapo hai wakati mimi sijaanza malezi ya wanangu, unless otherwise watoto wangu ni wakubwa na wazazi wa hao wanaokuja hawajiwezi au wamefariki. Yaani kuzaa azae mwingine mimi niletee
 
Kaka nyumba ni yako asikupangie mtu masharti, kila mzazi awajibike kwa watoto wake sio unazaa unategemea wengine wakulelee afu ukiambiwa ukweli unasema watu wachoyo

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Sure kaka, naona watu wanajitoa ufahamu eti huo ni uchoyo. Yaani kuzaa azae yeye na aliyemzalisha yupo halafu malezi mileee mimi ujinga huu
 
Yaani watu wanyanduane kwa raha zao afu mzigo abebeshwe mwingine kisa una roho nzuri??, nimefanya huo ujinga kwa miaka zaidi ya 10 sijaona baraka zozote zaidi umaskini kupiga hodi afu tunakuja kumlaumu magufuli,
Nilichogundua ukitaka kufanikiwa lazima watu wakuone una roho mbaya, sijaona mwenye roho nzuri akipata mafanikio makubwa lkn utaskia wanasema yule tajiri ana roho mbaya kumbe rombo mbaya yake ndio imemfanya kua tajiri.
 
Wanatetea sana ujinga, huyo mtoto hana shida ila mama yake yupo, aende huko au aende kwa baba yake. Kwa nini nibebe majukumu ya mtu mwingine wakati yupo hai
 
Sure kaka, naona watu wanajitoa ufahamu eti huo ni uchoyo. Yaani kuzaa azae yeye na aliyemzalisha yupo halafu malezi mileee mimi ujinga huu
Sio kujitoa ufahamu, complain inalenga zaidi chakula? Ni fedhea kwa mwanaume kulalamikia kumlisha mtoto
 
Wanatetea sana ujinga, huyo mtoto hana shida ila mama yake yupo, aende huko au aende kwa baba yake. Kwa nini nibebe majukumu ya mtu mwingine wakati yupo hai
Mtoto anakuja weekends siku za wiki yuko kwao ubaya uko wapi? Pengine mazingira aliyopo mama yake sio rafiki kwa michezo labda kuna wahuni wengi au uswahilini mno. Wewe jibaba una complain
 
Wanatetea sana ujinga, huyo mtoto hana shida ila mama yake yupo, aende huko au aende kwa baba yake. Kwa nini nibebe majukumu ya mtu mwingine wakati yupo hai
Kweli mkuu ningekubaliana nao km mtoto hana wazazi lkn wapo wote afu tabu apate mwingine, huo ujinga nimeacha rasmi asee ulinikosti sana kujiona nna huruma
 
Kweli mkuu ningekubaliana nao km mtoto hana wazazi lkn wapo wote afu tabu apate mwingine, huo ujinga nimeacha rasmi asee ulinikosti sana kujiona nna huruma
Hivi tabu hapo ni huo ugali marage anaokula kwako au kitu gani? Au kulalia kitanda na kukalia kochi ambalo hata mwanao anakalia 😂
 
Ina maana chini ya miaka miwili bado hajakidhi vigezo vya kuwa Malaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…