mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mkuu ni kweli ila mtoto anajikuta kazoea michezo ya kike muda wote, mama mtu hawarekebishi.
Wangekua wa kwako wote ungewatenganisha?Sio tabia mbaya mkuu mtoto kashashika michezo ya kike tu kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni kweli ila mtoto anajikuta kazoea michezo ya kike muda wote, mama mtu hawarekebishi.
Wangekua wa kwako wote ungewatenganisha?Sio tabia mbaya mkuu mtoto kashashika michezo ya kike tu kwake
Tatizo mnachukulia poa sana, mimi siwezi kulea mtoto wa mtu mwingine kama wazazi wake wapo hai wakati mimi sijaanza malezi ya wanangu, unless otherwise watoto wangu ni wakubwa na wazazi wa hao wanaokuja hawajiwezi au wamefariki. Yaani kuzaa azae mwingine mimi nileteeBro sitaki unijibu ila nakuuliza hivi, huyo mtot ana umr gan? Kama ana miaka 13+ bc una uhalali wa kuhoji ila kama ni below hapo. JITAFAKARI WEWE NI MTU WA NAMNA GANI, huenda upo tofauti na binadamu wema, huenda ww n kauzu, huenda kusaidia wengne huwezi. Psychology niliyonayo nimegundua vitu vingi sana kwako hata kama ndy huyo mtot ana 15+yrs. TAMBUA BINADAMU HATUPO SAWA, ILA MKE WAKO ANAJUA NINI MANA YA KAULI YA "hakuna aijuaye kesho" mpende sana huyo mkeo.
Sign off
Sure kaka, naona watu wanajitoa ufahamu eti huo ni uchoyo. Yaani kuzaa azae yeye na aliyemzalisha yupo halafu malezi mileee mimi ujinga huuKaka nyumba ni yako asikupangie mtu masharti, kila mzazi awajibike kwa watoto wake sio unazaa unategemea wengine wakulelee afu ukiambiwa ukweli unasema watu wachoyo
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Yaani watu wanyanduane kwa raha zao afu mzigo abebeshwe mwingine kisa una roho nzuri??, nimefanya huo ujinga kwa miaka zaidi ya 10 sijaona baraka zozote zaidi umaskini kupiga hodi afu tunakuja kumlaumu magufuli,Bro sitaki unijibu ila nakuuliza hivi, huyo mtot ana umr gan? Kama ana miaka 13+ bc una uhalali wa kuhoji ila kama ni below hapo. JITAFAKARI WEWE NI MTU WA NAMNA GANI, huenda upo tofauti na binadamu wema, huenda ww n kauzu, huenda kusaidia wengne huwezi. Psychology niliyonayo nimegundua vitu vingi sana kwako hata kama ndy huyo mtot ana 15+yrs. TAMBUA BINADAMU HATUPO SAWA, ILA MKE WAKO ANAJUA NINI MANA YA KAULI YA "hakuna aijuaye kesho" mpende sana huyo mkeo.
Sign off
[emoji106][emoji106][emoji106]Kaka nyumba ni yako asikupangie mtu masharti, kila mzazi awajibike kwa watoto wake sio unazaa unategemea wengine wakulelee afu ukiambiwa ukweli unasema watu wachoyo
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Wanatetea sana ujinga, huyo mtoto hana shida ila mama yake yupo, aende huko au aende kwa baba yake. Kwa nini nibebe majukumu ya mtu mwingine wakati yupo haiHapa masingo mama watatetea kwa nguvu zote, moja ya mambo yanayoongeza umaskini kwenye familia zetu ndio haya kubebeshana mizigo ya watu wengine,
Mama yangu aliacha biashara ili alee watoto wa mdogo angu, wazazi wetu wamekua mahausigeli sababu ya yetu sisi wanashindwa hata kufanya mambo yao ya msingi.
Mkuu naona wamekutoa kwenye hoja yako ya msingi kua kama mtoto ana baba na yupo kwanini aje ashinde kwako, hapo mwenye mtoto anakula raha tena pengine na huyo mwenye mtoto lkn mzigo wanakusukumia wewe.
Sio kujitoa ufahamu, complain inalenga zaidi chakula? Ni fedhea kwa mwanaume kulalamikia kumlisha mtotoSure kaka, naona watu wanajitoa ufahamu eti huo ni uchoyo. Yaani kuzaa azae yeye na aliyemzalisha yupo halafu malezi mileee mimi ujinga huu
Jamaa amelalamika sanaa. Mwanaume mchoyo kweli huyu dahSio kujitoa ufahamu, complain inalenga zaidi chakula? Ni fedhea kwa mwanaume kulalamikia kumlisha mtoto
Mtoto anakuja weekends siku za wiki yuko kwao ubaya uko wapi? Pengine mazingira aliyopo mama yake sio rafiki kwa michezo labda kuna wahuni wengi au uswahilini mno. Wewe jibaba una complainWanatetea sana ujinga, huyo mtoto hana shida ila mama yake yupo, aende huko au aende kwa baba yake. Kwa nini nibebe majukumu ya mtu mwingine wakati yupo hai
Kweli mkuu ningekubaliana nao km mtoto hana wazazi lkn wapo wote afu tabu apate mwingine, huo ujinga nimeacha rasmi asee ulinikosti sana kujiona nna hurumaWanatetea sana ujinga, huyo mtoto hana shida ila mama yake yupo, aende huko au aende kwa baba yake. Kwa nini nibebe majukumu ya mtu mwingine wakati yupo hai
Yani anatia aibu kwa kweliJamaa amelalamika sanaa. Mwanaume mchoyo kweli huyu dah
Hivi tabu hapo ni huo ugali marage anaokula kwako au kitu gani? Au kulalia kitanda na kukalia kochi ambalo hata mwanao anakalia 😂Kweli mkuu ningekubaliana nao km mtoto hana wazazi lkn wapo wote afu tabu apate mwingine, huo ujinga nimeacha rasmi asee ulinikosti sana kujiona nna huruma
Hakuna uchoyo hapo, kila mmoja apambane na majukumu yake.Acha uchoyo na roho mbaya
Mkuu kwani kuna chakula kinapatikana bure huko madukani?Sio kujitoa ufahamu, complain inalenga zaidi chakula? Ni fedhea kwa mwanaume kulalamikia kumlisha mtoto
Wewe ni maskini wa roho mzee 😂 very bad character! Watu wana complain kuhusu ada, gharama za afya ila sio mavi!Mkuu kwani kuna chakula kinapatikana bure huko madukani?
Hivi ile kauli mnayosemaga ya "kulea mimba sio kazi, kazi ni kulea mtoto" sio ya kweli eeh!!Jamaa amelalamika sanaa. Mwanaume mchoyo kweli huyu dah
Ina maana chini ya miaka miwili bado hajakidhi vigezo vya kuwa Malaika?Si ajabu hata huyo mtoto wako utasema kwanini anashinda hapo kwenu kila siku.
Watoto ni baraka, ukipata nafasi ya kulea mtoto tangu angali malaika (miaka 2 hadi 10) shukuru Mungu maana ni baraka. Ila kuanzia miaka 10+ wanakuwa na tabia tayari inakuwa ngumu kuishi nae unavyotaka wewe.
Kila la kheri.
Roho mbaya tuAcha uchoyo mzee mtoto mdogo kama huyo anakupunguzia nini?