malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
-
- #81
Mkuu kwangu Wala Sina tatizoMtoto mmoja tu wa shemeji yako unakuwa na hofu na je ingekuwa ni mtu mzima ametia timu hana mishe ingekuaje? mtoto ameletwa azoeane na mtoto mwenzake na ndio maana anamleta weekend angalau asiwe mpweke. Komaa tu upate thawabu na mtoto wako apate kampani ya mtoto mwenzake ili akili ichangamke kuliko kukaa mwenyewe tu pamoja na nyie wazazi wake tu
Wanaume ndo mnaproduce masingle mothers so saidianeni kulea, nini sasa mnalalamika?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] sure mkuu hapo ameanza weekend ..huko mbeleni anamleta official ...wanapenda kitonga
Mwache tu ila msisitizo hata kama analia kuondoka apelekwe tu hakuna namna ili mwenye mtoto awajibike kwa hizo siku nyingine mpaka hapo watoto wenyewe watakapozoeana wakikua wa kubwa na kuamua wenyewe kutembeleanaMkuu kwangu Wala Sina tatizo
Hahaha,hapana sio langu mpendwausiniambie hilo jicho ninaloliona kwenye avatar ni lako..
Baada ya wananzego kumshikia bango jamaa kabadili gear anganiExactly.. yani kaikimbia mada/point yake kahamia kwenye tabia za kike sijui vitu gani.
Anazunguka mbuyu tuu, tuseme hamtaki tuu uyo mtoto aende kwake.
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Na Mimi nimecheza na watoto wa kiume rede na michezo mingine ya kike, pia nimecheza michezo ya kiume pia..one touch na mingine mingi. Mwisho wa siku wa kiume walibaki wanaume na wa kike tulibaki wa kikeAnalysis nzuri, mbona sie wa analojia tumecheza rede, kuruka kamba, mdako na wakati mwingine hata kuosha vyombo tulifanya lakini mwisho wa siku ilivyofika muda wa kujielewa tukaacha mdogo mdogo
Mkuu nikweli ila mtoto anajikuta kazoea michezo yakike muda wote mama mtu hawarekebishi
Kulea mtoto ambaye unajua baba yake yupo anazungusha mbupu mjini hapa ni ujinga kabisa,linahitaji moyo sana..labda tu iwe huyo baba ana matatizo yanayofanya ashindwe kuhudumia.Wanaume ndo mnaproduce masingle mothers so saidianeni kulea, nini sasa mnalalamika?
Mda fulani baraka Za mwenye Mungu mnapishana nazo mlangoni,kwani huyo mtoto ana kosa gani yeye ,mambo mengine hata huruma tumia mkuu,mtoto ni malaika huwezi kujua kesho yakeHabari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalishaalikuja akaoa mwanamke mwingne
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake..mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani amuhudumii
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo Cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali yakuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Mkuu Wala sijabadili gia angani ndo uhalisia ninachokizungumzaBaada ya wananzego kumshikia bango jamaa kabadili gear angani
Sasa unashindwa nn kumbadilisha ,ww ni mchoyo na roho mbaya unaona kama huyo mtoto anakumalizia menuMkuu sio kiroho mbaya kunatabia ambazo mtoto kashaadapt zakike namama mtu anaona kawaida kwake
Kuna watu mna roho za ajabu sana. Inavyoonyesha nyumbani kwako hata ndugu hawakanyagi kwa roho yako.Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalishaalikuja akaoa mwanamke mwingne
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake..mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani amuhudumii
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo Cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali yakuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Kwani walimzalia yeye mambo ya kuzaa kwenu kuje kutusumbua ndugu huo ubwege haukubariki.Mapenzi mfanye nyie miuno mkate nyie akitokea mtoto mniltee alooo tutatafutana ubaya.Acha uchoyo na roho mbaya
Mkuu Wala Sina tatizo namtoto wote nawatreat vizur tu tatizo lipo kwa mama yake kumkatalia mtoto kwenda hata kwababa yake kwakisingizio Cha kutomhudumia na mama wakamboMda fulani baraka Za mwenye Mungu mnapishana nazo mlangoni,kwani huyo mtoto ana kosa gani yeye ,mambo mengine hata huruma tumia mkuu,mtoto ni malaika huwezi kujua kesho yake
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app