Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalishaalikuja akaoa mwanamke mwingne

Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake..mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake

Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani amuhudumii

Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo Cha kuja kucheza na mwenzake

Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali yakuwa baba yupo na anajichana na maisha?
We Lea mtoto wa mwanaume mwenzio utazani yeye kafariki, mwambie Shemeji yako amwambie mzazi mwenzio awe muajibikaji kwa mtoto
 
Mkuu Hana tabia zakishenzi Ila tatizo nikuwa mtoto kashaadapti michezo yakike maana hata umletee vitu vya mchezo wakiume havitumii mda wote unkuta anacheza michez yakike namwezio Sasa kwangu naona nitatizo Hilo maaan mama mtu Hana habar kwake nisawa
mbaya sana hii
 
Mkuu Wala Sina tatizo namtoto wote nawatreat vizur tu tatizo lipo kwa mama yake kumkatalia mtoto kwenda hata kwababa yake kwakisingizio Cha kutomhudumia na mama wakambo
Mkuu watu wasikusumbue,sababu naona kila mtu anakwambia una roho mbaya,mi nakuelewa.Maisha ni yako na wewe ndo unajua unavyoyapanga na unayoweza kufanya.mtoto wazazi wake wawili wote wapo wazima na wanaweza kumwangalia mtoto wao,sasa kwa nini jukumu likuangukie wewe!anaanza kuja siku chache baadae utaambiwa akae kwako sababu kazoea,ndo waafrika tulivo,tunapenda kuyatafuta alafu mizigo kuwapelekea wengine.Kama unazaa jua na kulea,sio ujanja njanja na kudumaza wengine ki maisha.Haya mambo mi nayapinga,labda awe yatima na hana pa kwenda hapo kwa moyo wote nabeba jukumu,na hata kama wazazi hawana uwezo unawasaidia nao wajisaidie kama familia huku wakiwa na watoto zao.
 
Mbona hukuweka Kama kiini ya thread yako?
Ungekuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na wakiume ndio kaadapt hizo tabia ungemfukuza huyo wa kike ?
Mkuu Sasa ukiwa na watoto wako wajinsia tofaut siunashi nao unawalea unawafundisha je sawa na mtoto Alie lelewa namzazi huko hujui analelewa akaja ukaishi nae akawa natabia chafu hapo napo vip
 
Kulea mtoto ambaye unajua baba yake yupo anazungusha mbupu mjini hapa ni ujinga kabisa,linahitaji moyo sana..labda tu iwe huyo baba ana matatizo yanayofanya ashindwe kuhudumia.

Waafrika especially wabongo tunapenda kubebesha watu mizigo isiyowahusu..no wonder nchi yetu ipo karibia mkiani kwenye list za nchi na furaha duniani
For sure ...Yan ni ujinga mnoo kukubali kubeba mizigo ya watu
 
mimi ki ukweli sio kwamba uchoyo!! nisingeweza kukaa na mtoto wa mtu ambae dingi na maza wanakula maisha..mimi nalea mtoto wa mtu.Kila mtu anashida zake..usijifanye sana mwema!!

Ndo ile sijui wageni wamekuja alafu eti watoto wako unawaambia walale subeleni alafu wageni walale chumbani kwa watoto!! Siji kufanya upuuzi huu..let my kids wa enjoy baba yao nikiwa hai..sio niwalaze sebuleni!!

😀 nakumbuka kuna jamaa humu alileta uzi dingi yake alivowapeleka wageni kulalia vitanda vya hospital kesho wakasepa!! katika maisha kuna msemo unasema" Kama ukijua ni jinsi gani watu huwa wanawasahau marehemu haraka,Lazima utaacha kuwafurahisha wao"
 
Huna roho mbaya mkuu,trust me! You are just using your head,wengine wanapenda kuwa emotional kwenye masuala muhimu ya kimaisha,mlee mwanao ili nae aone raha ya kuwa na baba,hujui utaondoka lini,maisha yenyewe mafupi.
upo sahihi 100%.si ndo ile wageni wamekuja eti watoto wangu walale sebuleni wageni chumbani..Kwangu hiyo hakunaga..watoto wangu acha wajitanue room wageni sebuleni.Yaani watoto wangu wasubirie wengine walale ndo wao walale..Hell No!! kisa kuwafurahisha watu wakati uki ukifariki wanaanza kuwaangalia kama takataka hao hao uliowafadhili na kuwafurahisha.
 
Huna roho mbaya mkuu,trust me! You are just using your head,wengine wanapenda kuwa emotional kwenye masuala muhimu ya kimaisha,mlee mwanao ili nae aone raha ya kuwa na baba,hujui utaondoka lini,maisha yenyewe mafupi.
Mkuu we umenielewa vyema Sana imagine mtoto wako unakuja kumchukua jumapili kwa ajili jumatatu aende shule mtoto anakugomea kabisa hataki kwenda abaki huku huku..ndo maana nkawa nawaelewesha wachangiaji kuwa mtoto angekua amezoeshwa kwenda hata kwa baba yake pia Hali Kama hiyo isingekuepo
 
Una roho mbaya wewe ndio maana kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye ndoa ni muhimu sana tusikurupuke tu kuolewa

Ila watu kama nyie wakija ndugu zenu mnaona sawa tu sio ndugu wa upande wa mke wako
 
mimi ki ukweli sio kwamba uchoyo!! nisingeweza kukaa na mtoto wa mtu ambae dingi na maza wanakula maisha..mimi nalea mtoto wa mtu.Kila mtu anashida zake..usijifanye sana mwema!!

Ndo ile sijui wageni wamekuja alafu eti watoto wako unawaambia walale subeleni alafu wageni walale chumbani kwa watoto!! Siji kufanya upuuzi huu..let my kids wa enjoy baba yao nikiwa hai..sio niwalaze sebuleni!!

[emoji3] nakumbuka kuna jamaa humu alileta uzi dingi yake alivowapeleka wageni kulalia vitanda vya hospital kesho wakasepa!! katika maisha kuna msemo unasema" Kama ukijua ni jinsi gani watu huwa wanawasahau marehemu haraka,Lazima utaacha kuwafurahisha wao"
Mkuu wenimiongoni mwa watu walionielewa humu..ukiachilia mbali tabia mtoto ambazo ameziadapt
 
Sasa umeleta thread ya Nini wakati tayari unauamuzi unaouona sahihi. Si ungemtimua tu .
Nimetolea mfano kwanamna ulivo niukiza.sio kwamba nae huyo mtoto yuko hivo Wala nimtoto Safi tu kitabia
 
Back
Top Bottom