Kwahiyo tumsuse mtoto kwasababu baba yake yupo na hataki kuwajibika?
.
.
Wanaume mna matatizo...mtu kampa mimba mtoto wa kike kamsababishia usingle maza (hatufahamu sababu za kutoishi pamoja, cases zipo nyingi)...bidada kaamua kusaidiana na mwenzake mtoto apate malezi hlf anatokea mwanaume mwingine kuleta vikwazo, Wala hajaombwa amsomeshe ni chakula tu.
Huwa nashangaa sana mnavyosema wanawake hawapendani lkn wanaume ndo hawajawahi kupendana, kutwa kuharibu jamii badala ya kurekebisha. Nyie ndio source ya jamii mbovu.