Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Mkuu we umenielewa vyema Sana imagine mtoto wako unakuja kumchukua jumapili kwa ajili jumatatu aende shule mtoto anakugomea kabisa hataki kwenda abaki huku huku..ndo maana nkawa nawaelewesha wachangiaji kuwa mtoto angekua amezoeshwa kwenda hata kwa baba yake pia Hali Kama hiyo isingekuepo
Baba na mama wa mtoto wake chini wajue watasaidiana vip kumlea mtoto wao,sababu wao ndo wazazi wake na ndo walomleta hapa duniani,wasikupe stress wewe.
 
Una roho mbaya wewe ndio maana kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye ndoa ni muhimu sana tusikurupuke tu kuolewa

Ila watu kama nyie wakija ndugu zenu mnaona sawa tu sio ndugu wa upande wa mke wako
Roho mbaya ipi mkuu wakat mtoto nipo nae kila siku weekend nachozungumzia nikukataa wazazi mtoto kwenda kwa baba yake nahuyo hai na eneo Hilo hilo jiran kisa mama wakambo nababa kutomhudumia mtoto ipasavyo ukiachilia mbali hayo mengne yakuadapt tabia zakike
 
Mtoto kuja tu weekend ndio imekuwa nongwa dah wabongo siku hizi bajet imekuwa kali sana.
Mkuu nawe hujaelewa vizur mtoto kuja weekend sio nongwa shida wazazi kutompeleka mtoto kwa baba hata siku moja nababa yupo eneo Hilo hilo kwakisingizio Cha mama wakambo na kutomhudumia mtoto ipasavyo
 
upo sahihi 100%.si ndo ile wageni wamekuja eti watoto wangu walale sebuleni wageni chumbani..Kwangu hiyo hakunaga..watoto wangu acha wajitanue room wageni sebuleni.Yaani watoto wangu wasubirie wengine walale ndo wao walale..Hell No!! kisa kuwafurahisha watu wakati uki ukifariki wanaanza kuwaangalia kama takataka hao hao uliowafadhili na kuwafurahisha.
Mgeni kaja kamkuta mwanangu ana chumba chake,kama kuna chumba cha wageni sawa kama hakuna,wageni wanalala sebuleni.mwanangu nampigania kwanza,nimeona watu wanaangaika na makaka na madada zao,alafu wakifariki watoto zao hata pa kwenda hawana,tena hata kama kuna vitu viwili vitatu wananyanganywa na kuishi maisha ya tabu.
 
kutokana na maelezo ya muhusika na michango ya wachangiaji naomba tubadiliashe title ya thread iwe

"ROHO MBAYA NA CHOYO INANISUMBUA SANA"
 
Andiko lako linaonesha jinsi uko na roho ya choyo!
Wanaume hatuko hivyo,Mungu hapendi hivyo.
Roho ya uchoyo ipi mkuu wakat mtoto kila weekend nipo nae nachojaribu kueleza ni mama watoto na mdgo wake kumtenga mtoto na baba yake kwakisingizio Cha kutomhudumia na pia mama wakambo ukiachilia mbali michezo ambayo mtoto kaiadapt
 
Mgeni kaja kamkuta mwanangu ana chumba chake,kama kuna chumba cha wageni sawa kama hakuna,wageni wanalala sebuleni.mwanangu nampigania kwanza,nimeona watu wanaangaika na makaka na madada zao,alafu wakifariki watoto zao hata pa kwenda hawana,tena hata kama kuna vitu viwili vitatu wananyanganywa na kuishi maisha ya tabu.
Kabisa mkuu Na mimi nimeshuhudia mengi mfano mzuri My Dad (rip) and My Mom(rip) walijitahidi kuwa wema kwa hawa so called ndugu lakini hawakuwa na shukrani na nikichojifunza kwenye maisha ni kufight alone wew na familia yako!! ndo maana sitaki kabisa kuwafurahisha watu kinafiki!! My family is number one priority.Watoto wanakuja kuwa machokoraa wakati baba yao aliwafanyia mema watu..sifanyi ujinga huo..binadamu hana shukrani..ni 1 katika 100 au usimpate kabisa.
 
kutokana na maelezo ya muhusika na michango ya wachangiaji naomba tubadiliashe title ya thread iwe

"ROHO MBAYA NA CHOYO INANISUMBUA SANA"
Choyo vp mkuu wakati mtoto tunae kila weekend tunaishi nae vizur nachozungumzia nitabia zawazazi kumtenga mtoto na baba yake kwakisingizio Cha kutomhudumia vyema na pia mama wakambo Hali baba wamtoto anaishi eneo moja
 
Baba na mama wa mtoto wake chini wajue watasaidiana vip kumlea mtoto wao,sababu wao ndo wazazi wake na ndo walomleta hapa duniani,wasikupe stress wewe.
Mama mtu nikama anataka jukumu lakumlea mtoto liwe kwake tu yaan mtoto asihusishwe na upande wababa mtoto aendelee kukua kwaupande kwakila kitu Hali baba yuhai na anamke na anashuguli zake zakumuingizia rizki
 
Wewe kinachokuuma Ni Nini haswa?
Humpendi?
Humtaki?
Unamchukia?
Anakumalizia Chakula Kwako?
Hamna pakumlaza?
Anakuzuia kwenye Mambo yako?
 
Acha roho mbaya utakuja kuwa mfano wa kujifunzia walimwengu kama baba ake diamond platinum.
 
Wewe kinachokuuma Ni Nini haswa?
Humpendi?
Humtaki?
Unamchukia?
Anakumalizia Chakula Kwako?
Hamna pakumlaza?
Anakuzuia kwenye Mambo yako?
Mkuu hakuna kinachoniuma chochote..Zaid nikwamba nikwanini mtoto atengwe nababa yake Hali yuhai kwasababu zakua baba yupo na mke mwingne napia kwakisingizio Cha kutomhudumia Hali baba yupo nashuguli zake nayupo eneo Hilo hilo
 
Kulea mtoto ambaye unajua baba yake yupo anazungusha mbupu mjini hapa ni ujinga kabisa,linahitaji moyo sana..labda tu iwe huyo baba ana matatizo yanayofanya ashindwe kuhudumia.

Waafrika especially wabongo tunapenda kubebesha watu mizigo isiyowahusu..no wonder nchi yetu ipo karibia mkiani kwenye list za nchi na furaha duniani
Kwahiyo tumsuse mtoto kwasababu baba yake yupo na hataki kuwajibika?
.
.
Wanaume mna matatizo...mtu kampa mimba mtoto wa kike kamsababishia usingle maza (hatufahamu sababu za kutoishi pamoja, cases zipo nyingi)...bidada kaamua kusaidiana na mwenzake mtoto apate malezi hlf anatokea mwanaume mwingine kuleta vikwazo, Wala hajaombwa amsomeshe ni chakula tu.
Huwa nashangaa sana mnavyosema wanawake hawapendani lkn wanaume ndo hawajawahi kupendana, kutwa kuharibu jamii badala ya kurekebisha. Nyie ndio source ya jamii mbovu.
 
Back
Top Bottom