Baba na mama wa mtoto wake chini wajue watasaidiana vip kumlea mtoto wao,sababu wao ndo wazazi wake na ndo walomleta hapa duniani,wasikupe stress wewe.Mkuu we umenielewa vyema Sana imagine mtoto wako unakuja kumchukua jumapili kwa ajili jumatatu aende shule mtoto anakugomea kabisa hataki kwenda abaki huku huku..ndo maana nkawa nawaelewesha wachangiaji kuwa mtoto angekua amezoeshwa kwenda hata kwa baba yake pia Hali Kama hiyo isingekuepo