Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Lugha ya "ni ngumu sana kupona kwa mtu kama huyu haikuhitajika sana" ni bora ukampa pole ukaondoka.Pole my dear..nayahisi maumivu yako
Ni ngumu mno kupona maumivu..Mama yangu alifariki mwaka 2021 lakini Hadi Leo Bado Nina maumivu..napambana kumove on lakini eeh
Nisamehe mimiPole sana. Lugha ya "ni ngumu sana kupona kwa mtu kama huyu haikuhitajika sana" ni bora ukampa pole ukaondoka.
Hakuna jambo lisilo kuwa na jibu, bali watu wengi tunakosa njia za kufikia majibu.
Tatizo la wabongo ndo hili mtu anapokuomba ushauri kama huna namna ya kumsaidia ni bora ukatulia. Experience inasaidia lakini wewe na yeye lazima experiences zetu zitakuwa hazifanani sio kila njia iliyokuponya itamponya na yeye. Wanasaikolojia ni muhimu, huwezi kuzidi maelfu ya wasomi duniani walioona umuhimu wa kuweka saikolojia kama huduma ya afya ya akili.Pole, ni muda tuu ndio unaponya achana na wana saikolojia sijui nini, nimepitia hiyo mwaka juzi…kuna muda utahisi labda ungefanya vile angepona au hivi angekua sawa….mshukuru mungu na kumuombea.
Usijali uwe na amani.Nisamehe mimi
Nina amani teleUsijali uwe na amani.
Naona kama unataka kuuharibu huu uzi, wewe toa ushauri wako pita kulee, na wengine watatoa ya kwao baadae mleta mada atakuja kuchuja lakini kuanza kukosoa na kukashifu wabongo kisa tu wewe umetoa ushauri wa Mwanasaikolojia si sawa,Tatizo la wabongo ndo hili mtu anapokuomba ushauri kama huna namna ya kumsaidia ni bora ukatulia. Experience inasaidia lakini wewe na yeye lazima experiences zetu zitakuwa hazifanani sio kila njia iliyokuponya itamponya na yeye. Wanasaikolojia ni muhimu, huwezi kuzidi maelfu ya wasomi duniani walioona umuhimu wa kuweka saikolojia kama huduma ya afya ya akili.
Nyie ndo type ya waumini fulani ambao wanakataa kutumia dawa za hospital wanakalia maombi na wanakufa na dhambi zao.
ok!
dah!
Nitaweza?
Kwa hiyo wewe unaona uko sahihi? Haya sawa mimi sio sahihi wewe uko sahihi, kama una busara nadhani hili limeisha mkuu.Naona kama unataka kuuharibu huu uzi, wewe toa ushauri wako pita kulee, na wengine watatoa ya kwao baadae mleta mada atakuja kuchuja lakini kuanza kukosoa na kukashifu wabongo kisa tu wewe umetoa ushauri wa Mwanasaikolojia si sawa,
Btw, kuna mdada hapo juu amejaribu kumuonesha mtoa mada kua anachopitia wanapitia wote ukamvaa hadi akawa mpole, binafsi sikupenda,
Tujifunze kuheshimu Matatizo ya wenzetu.
2. Naomba maneno haya ya Biblia yakutie moyo Ayoubu 14.1
Thank u love. Aliacha mbwa wake mmoja,ana mtoto sasa. nimebaki nao nawatunza! Ni kweli wanagive back huo upendo! Nakaa pia na mtoto wake. I hope vitanisaidiaSnow white darling, kwanza kabisa pole sana kwa msiba mzito wa ndugu yetu, maumivu ni makubwa naweza kuyahisi,
Nakuomba ujiondolee hatia uliyojiwekea, umesema unahisi hukumlinda sasa hiyo ndio inayokuumiza, naomba ujue Kifo ni lazima wote tukipitie ndio njia kuu ya kufika kule tulipoahidiwa, huwezi kukizuia kifo kikifika, jua kua ndugu yetu yupo mahali salama anakuangalia na anasononeka akikuona wewe unaumia juu yake wakati yeye yupo vizuri, cha kufanya acha kusononeka, mshukuru Mungu kwa yote kisha ishi kwa Amani huku ukijua mtakutana tena na kufurahi pamoja,
Nakushauri kama hutojali fuga Paka au Mbwa au wote hao Wanyama wanajua kuponesha upweke, masononeko, mfadhaiko, wanaleta furaha na ulinzi.
NB: Ukiona Trauma imekua worse please nenda kaonane na Therapist, hao watu hua wanasaidia.
Sawa, ahsnate sana!Mwombee Kwa Mungu wetu jitahidi kujisahaulisha sote hapa duniani tulishafiwa elewa hata wewe mda wako ukifika utakufa ndugu yakataka moyo kuzoea ila jitahidi kujisahaulisha Kwa kujiweka busy na michakato Yako utashinda.