Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 237
Wakuu Msaada.
Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo.
Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana uhalali wa kuendelea na private?
Kwenye taarifa za Baraza la Mitihani atakuja atumie taarifa zipi huko mbeleni (hii watanielewa wale wanaojua utaratibu pekee kama hujui hapa pita tu)?
Dogo alipita interview zote zenye ushindani ikiwemo Ahmes sekondari.
Mh RAIS Mama etu.
Sema neno hapa watoto hawana hatia