YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Sahihi kabisaMkuu kwa shule ya priavate hauhitaji matokeo ya darsa la saba. Mimi mwanangu yuko chuo mwaka wa pili alisoma mpaka darasa la sita na kufanya mtihani wa kujiunga na kidato cha kwanza na akafaulu, akaenda secondary private school, kamaliza kaenda A Level na sasa yuko chuo mwaka wa pili. Mpeleke mtoto asome wala usiwaze.