Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Aisee mkuu nlikua napitia nione hiii kitu unayosema lakini nimeona kweli wanatoa fursa kwa mtoto kurudia mtihani lakini endapo tatizo lililosababishwa afutiwe matokeo si la mwanafunzi alafu kitu kingine inaonekana wanakaa mwaka mzima wanakuja fanya mtihani na wenzao wahitimu wa mwaka unaofuata na si mtihani wa kivyao na wale wanaogundulika ni makosa ya kwao yaani wanafunzi wenyewe ndo chanzo inakuLa kwao no option awapewi fursa ya kurudia ukakasi sasa unakuja hapa kiongozi awa wasio na fursa ya kurudia mtihani wanapelekwa wap? Ukizingatia ni bado watoto mnoo watafanya shughuli gani?Watu wajuaji humu, hawajui mambo yamebadilika, hata kumhamisha mtoto kutoka shule moja kwenda nyingine lazima awe na hiyo namba ya usajiri ya drs la 7. Ninachojua watoto waliofutiwa matokeo wataandaliwa mtihani mwingine watafanya before January ili kuwawezesha kwenda kidato cha kwanza
Najiuliza hvi kweli awapatiwi hata fursa ya kwenda private? Natafutaa taarifa maana hii kitu si sawa ni ukatili wa hali ya juu dhidi ya mtoto