MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

Kumbe mambo yamebadilika sana
 
Kuna Cheti cha Darasa la Saba zaidi ya Leaving Certificate ?

Nadhani ukijibu hili utakuwa umepata jibu..., Leaving Certificate ambayo kila mtu anapata hata kabla majibu hayajatoka ndio yanakutaarifu kwamba umesoma Primary
Vyeti vipo saivi kwa la 7 vina picha na matokeo ata kama mtu kafeli.
 
Hawezi kuendelea maana Matokeo yake ya upimaji kitaifa hayapo lazima arudie Mitihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…