Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Aje hapo hapo mnapoishi Nyumba au majirani wanaweza kuwa siyo wazuri kwako.. Mtoto ni Malaika anaona vitu vingi sana hapo hapo Nyumbani kwenu mnapoishi au anapoishi ndipo Maombi yanapotakiwa kufanyika Jaribu Mkuu..Mkuu kuhusu bb mama anasaidiwa na bb upande wangu(mwanaume).. Nmeuliza labda kuna haja ya kumleta na bb upande wa mama.. Na kuhusu mchungaji nmemuomba jamaa atuambie kanisa alilompeleka mwanaye akaombewa ili na mm nmepeleke mwanangu aombewe.. As tupo disperate
Ndiyo, inaonekana mmemuiba huyo mtoto😛. Mzazi hawezi kuanzisha thread kisa mtoto analia.Nmrudishe mke kwa wazaz wake?
Mtoto wako alikua na umri gani?Pole. ndio watoto walivyo. Hiyo ndio njia yao ya kujielezea iwapo hajuona kuwa hawako vizuri. Mara nyingi hulia kwa sababu ya njaa,Ugonjwa,joto, njaa au aina fulani ya maumivu.
Utapewa ushauri kibao, mar hivi mara vile.
Ila mwishowe kabisa nakushauri mpeleke kwa Daktari.
Kuna wakati nilisoma ushauri kibao humu, kwenda kwa daktari hakuna hata moja ya humu yaliyosaidia. Daktari akampa amoxylin syrup, akapopata nafuu.
So, mpeleke kwa Dr kwa ushauri bora zaid.
Mtoto kulia ni ishara ya kutoshiba. Aidha kama ni mtoto wa kwanza lazima mama afunzwe jinsi ya kunyonyesha bila kuingiza gesi. Utakuta tumbo limejaa lakini 60 percent ni gesi! Unashauriwa usichoke kumweka begani ili abeue sana na si mara moja. Je choo anapata? Kumbuka huu ni wakati wake wa kujenga mwili usisahau kumpatia maji na juisi ya machungwa! Wangu katika umri huo alikuwa hajisaidii hata siku 12 nilipofanya hayo tatizo liliishaTutafanyia kazi mkuu ushauri wako
Sawa mkuu nitafanyia kazi ushauri wako next week tutafanya ibada nyumbaniAje hapo hapo mnapoishi Nyumba au majirani wanaweza kuwa siyo wazuri kwako.. Mtoto ni Malaika anaona vitu vingi sana hapo hapo Nyumbani kwenu mnapoishi au anapoishi ndipo Maombi yanapotakiwa kufanyika Jaribu Mkuu..
mwezi mmojaMtoto wako alikua na umri gani?
Yani mkuu unayoyaongea utafikiri unaelezea ya mtoto wangu.. Kuna kipindi mtoto alifunga choo siku saba.. Ndi akajisaidia week ilopita.. But now naona siku mbili zimepita hajajisaidia.. Kuhusu juisi ya machungwa tutalifanyia kazi leo.. Na kuhsu kumweka begani nafikiri ntamueleza mama yake awe anafanya zaidi ya mara moja.. Mana nahisi huwa anamfanyia maramoja tu akishamnyonyesha..Mtoto kulia ni ishara ya kutoshiba. Aidha kama ni mtoto wa kwanza lazima mama afunzwe jinsi ya kunyonyesha bila kuingiza gesi. Utakuta tumbo limejaa lakini 60 percent ni gesi! Unashauriwa usichoke kumweka begani ili abeue sana na si mara moja. Je choo anapata? Kumbuka huu ni wakati wake wa kujenga mwili usisahau kumpatia maji na juisi ya machungwa! Wangu katika umri huo alikuwa hajisaidii hata siku 12 nilipofanya hayo tatizo liliisha
Hospitali gani mkuu una access za contact za huyo dr. Tafadhali kama utaweza nisaidia!!mwezi mmoja
Imanihiyo ishatokea kwa mtoto wangu, tulikesha na mke wangu. Kila mtu alisema lake, mara jina, mara hashibi n.k. tulimpeleka kanisani akaombewa ndo akapona
Hapana.Inawezekana hiyo ndiyo tafsiri yako sitakulaumu kwa hilo..Ndiyo, inaonekana mmemuiba huyo mtoto😛. Mzazi hawezi kuanzisha thread kisa mtoto analia.
Mwz kuna mama anaitwa mama Yusufu mmasai anasaidia hata wa kwangu alipitia shida kama hiyo. Nilipelekwa kwake na wauguzi wa Hospital ya mkoa (Sekou toure) alimpa dawa na akasema hapana pia tena na hakulia tena na Mtoto alilala siku mbili mfululizoMorogoro..
Yoyote, akiwa specialist wa watoto ni bora zaidi.Hospitali gani mkuu una access za contact za huyo dr. Tafadhali kama utaweza nisaidia!!
Mkuu profile picture yako inatoa ujumbe mkubwa sanaImani
Asante mkuuYoyote, akiwa specialist wa watoto ni bora zaidi.
Sasa kwa ss wa morogoro tunasaidiwaje?Mwz kuna mama anaitwa mama Yusufu mmasai anasaidia hata wa kwangu alipitia shida kama hiyo. Nilipelekwa kwake na wauguzi wa Hospital ya mkoa (Sekou toure) alimpa dawa na akasema hapana pia tena na hakulia tena na Mtoto alilala siku mbili mfululizo
Hili ndo jawabu la matatizo yote, mwambie shemeji ajaribu kucontrol gas isiingie dogo atakuwa anajaa gas tu wala siyo kushiba. First born wangu alisumbua kiaina mwanzoni baadae mchezo tukaujua aah ikawa mtelemko. Juice ya machungwa au machenza eee bwana inakuwa swaafi kabisa. Pia shemeji ajaribu kupunguza kula mayai, pilipili au kwa kifupi vyakula vinavyoweza kumsababishia mtoto gas tumboni. Nawewe kaka mkubwa jitahidi kufuata maelekezo ya kampelewele hapo juu!! Bila kusahau kuna madaktari bingwa wa watoto, weka appointment uende ukapate ushauri zaidi ya kitaalamu. Usihofu litaisha hilo!! Kutokuwa na hofu pamoja na kuwa na imani ndiyo uanaume wenyewe mkuu.Mtoto kulia ni ishara ya kutoshiba. Aidha kama ni mtoto wa kwanza lazima mama afunzwe jinsi ya kunyonyesha bila kuingiza gesi. Utakuta tumbo limejaa lakini 60 percent ni gesi! Unashauriwa usichoke kumweka begani ili abeue sana na si mara moja. Je choo anapata? Kumbuka huu ni wakati wake wa kujenga mwili usisahau kumpatia maji na juisi ya machungwa! Wangu katika umri huo alikuwa hajisaidii hata siku 12 nilipofanya hayo tatizo liliisha
Mimi nina utaalamu kidogo na hawa watoto wadogo chini ya miaka 5Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Shukrani mkuuHili ndo jawabu la matatizo yote, mwambie shemeji ajaribu kucontrol gas isiingie dogo atakuwa anajaa gas tu wala siyo kushiba. First born wangu alisumbua kiaina mwanzoni baadae mchezo tukaujua aah ikawa mtelemko. Juice ya machungwa au machenza eee bwana inakuwa swaafi kabisa. Pia shemeji ajaribu kupunguza kula mayai, pilipili au kwa kifupi vyakula vinavyoweza kumsababishia mtoto gas tumboni. Nawewe kaka mkubwa jitahidi kufuata maelekezo ya kampelewele hapo juu!! Bila kusahau kuna madaktari bingwa wa watoto, weka appointment uende ukapate ushauri zaidi ya kitaalamu. Usihofu litaisha hilo!! Kutokuwa na hofu pamoja na kuwa na imani ndiyo uanaume wenyewe mkuu.
Shukrani mkuuJaribuni kufanya maombi kwenye chumba anacholala