Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Aje hapo hapo mnapoishi Nyumba au majirani wanaweza kuwa siyo wazuri kwako.. Mtoto ni Malaika anaona vitu vingi sana hapo hapo Nyumbani kwenu mnapoishi au anapoishi ndipo Maombi yanapotakiwa kufanyika Jaribu Mkuu..Mkuu kuhusu bb mama anasaidiwa na bb upande wangu(mwanaume).. Nmeuliza labda kuna haja ya kumleta na bb upande wa mama.. Na kuhusu mchungaji nmemuomba jamaa atuambie kanisa alilompeleka mwanaye akaombewa ili na mm nmepeleke mwanangu aombewe.. As tupo disperate