Huu sasa ni ubinafsi. JF ingekuwa hivi, isingepata wafuasi.Mimi nina utaalamu kidogo na hawa watoto wadogo chini ya miaka 5
Jaribu kumshika tumbo akiwa amelala na kumshika pembeni(mbavuni) ukiona anajinyonga hilo ndo tatizo lake naugonjwa huo hospital hawana dawa ila kuna majani ambayo ni dawa ila sidhani kua huko hapo ila jaribu kuni PM unipe no za whatsap nikutumie picha za dawa na tuwasiliane tuweze kumsaidia mtoto maana hata kama wamemloga itasaidia
Mkuu haiwezekani kushare hapa ili nawengine wafaidike..Mimi nina utaalamu kidogo na hawa watoto wadogo chini ya miaka 5
Jaribu kumshika tumbo akiwa amelala na kumshika pembeni(mbavuni) ukiona anajinyonga hilo ndo tatizo lake naugonjwa huo hospital hawana dawa ila kuna majani ambayo ni dawa ila sidhani kua huko hapo ila jaribu kuni PM unipe no za whatsap nikutumie picha za dawa na tuwasiliane tuweze kumsaidia mtoto maana hata kama wamemloga itasaidia
Naona watu wanashauri apewe juisiJaman mtoto wa miezi miwili juice?? Mi nadhan n mda wa maziwa tu au wajuz mnasemaje
Chiwaso, ameshakushauri vizuri, achana na mabibi, mababu, utapotezamudabure.Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Chiwaso, ameshakushauri vizuri, achana na mabibi, mababu, utapotezamudabure.
Mpeleke mtoto hospital, otherwise hiyo nimojawapo ya step ambayo mtoto anapitia katika ukuaji.
Hatamimi Mwanangu alikuwa hivyo, after 3months now analalatu na mimi niko bize na mamayake usiku mzima, hadi tunafanya kumuamsha ili anyonye.
Ahaaa.. Mkuu umenifuraisha.. Umesharudi uwanjani siyo!! Ha haaaChiwaso, ameshakushauri vizuri, achana na mabibi, mababu, utapotezamudabure.
Mpeleke mtoto hospital, otherwise hiyo nimojawapo ya step ambayo mtoto anapitia katika ukuaji.
Hatamimi Mwanangu alikuwa hivyo, after 3months now analalatu na mimi niko bize na mamayake usiku mzima, hadi tunafanya kumuamsha ili anyonye.
Jamaa amesharudi uwanjaniHapo kwenye nyekundu Mkuu, nimecheka sana. Au unataka kumleta mdogog wake nn?
Juice kwa mtt mdogo saana sidhan ka nzuriNaona watu wanashauri apewe juisi
Haina neno mkuu,inachotakiwa isiwe ya matunda yenye acid nyingi,iwe ya ndizi mbivu au parachichi,na apewe kidogo sana vijiko vitatu mpka vinne basi.Juice kwa mtt mdogo saana sidhan ka nzuri
Wajuvi mtuambie.. Mana bado sijanza mpa juisiHaina neno mkuu,inachotakiwa isiwe ya matunda yenye acid nyingi,iwe ya ndizi mbivu au parachichi,na apewe kidogo sana vijiko vitatu mpka vinne basi.
Hataki mchezo, ni kata nti, panda mti.Jamaa amesharudi uwanjani
Kwenye kitovu hapo nahisi kuna kitu..sababu nyingine mwangalieni kitovu, kuna dalili ya hicho kitovu kuvimba? kama kuna dalili ya kuvimba hiyo ni umbilical hernia inamsambua sana kila akila akashiba ni shida. Muone daktari kwa ushauri, ingawa wanasema muache after 18 months itaisha na hata huo uvimbe utaisha.
hayo ya majina na vingine inategemea mila na desturi ya wewe na familia
Ngoja apate kingine...Hataki mchezo, ni kata nti, panda mti.
Huyo hashibi ana njaa,mpe cerelak ,maziwa na uji akishiba hatalia tena.ulete mrejesho.Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Samahani mkuu.. Miez miwili anaruhusiwa kutumia cerelakHuyo hashibi ana njaa,mpe cerelak ,maziwa na uji akishiba hatalia tena.ulete mrejesho.
Changa motoSasa kwa ss wa morogoro tunasaidiwaje?