Msaada; Mtoto wa miezi miwili analia sana!!

Mimi nina utaalamu kidogo na hawa watoto wadogo chini ya miaka 5

Jaribu kumshika tumbo akiwa amelala na kumshika pembeni(mbavuni) ukiona anajinyonga hilo ndo tatizo lake naugonjwa huo hospital hawana dawa ila kuna majani ambayo ni dawa ila sidhani kua huko hapo ila jaribu kuni PM unipe no za whatsap nikutumie picha za dawa na tuwasiliane tuweze kumsaidia mtoto maana hata kama wamemloga itasaidia
Huu sasa ni ubinafsi. JF ingekuwa hivi, isingepata wafuasi.
Weka maelezo hapa ili usaidie na wengine.
 
Itakuwa hashibi maziwa ya mama ..wa kwangu alikuwa hivyo hivyo nikimuanzishia maziwa ya kopo akawa anapata usingizi.
 
Mimi nina utaalamu kidogo na hawa watoto wadogo chini ya miaka 5

Jaribu kumshika tumbo akiwa amelala na kumshika pembeni(mbavuni) ukiona anajinyonga hilo ndo tatizo lake naugonjwa huo hospital hawana dawa ila kuna majani ambayo ni dawa ila sidhani kua huko hapo ila jaribu kuni PM unipe no za whatsap nikutumie picha za dawa na tuwasiliane tuweze kumsaidia mtoto maana hata kama wamemloga itasaidia
Mkuu haiwezekani kushare hapa ili nawengine wafaidike..
 
Jaman mtoto wa miezi miwili juice?? Mi nadhan n mda wa maziwa tu au wajuz mnasemaje
 
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Chiwaso, ameshakushauri vizuri, achana na mabibi, mababu, utapotezamudabure.
Mpeleke mtoto hospital, otherwise hiyo nimojawapo ya step ambayo mtoto anapitia katika ukuaji.

Hatamimi Mwanangu alikuwa hivyo, after 3months now analalatu na mimi niko bize na mamayake usiku mzima, hadi tunafanya kumuamsha ili anyonye.
 
Hapo kwenye nyekundu Mkuu, nimecheka sana. Au unataka kumleta mdogog wake nn?
 
Chiwaso, ameshakushauri vizuri, achana na mabibi, mababu, utapotezamudabure.
Mpeleke mtoto hospital, otherwise hiyo nimojawapo ya step ambayo mtoto anapitia katika ukuaji.

Hatamimi Mwanangu alikuwa hivyo, after 3months now analalatu na mimi niko bize na mamayake usiku mzima, hadi tunafanya kumuamsha ili anyonye.
Ahaaa.. Mkuu umenifuraisha.. Umesharudi uwanjani siyo!! Ha haaa
 
Juisi ya machungwa peke yake kwa mtoto mdogo hivyo inaweza kumletea shida,Jaribu juisi ya matunda yasiyo na acid,mfano juisi ya ndizi mbivu au ya parachichi unaweka na vichungwa kidogo sana na mpe mtoto mara moja tu kwa siku muda ulex2,
Pia kumbuka juisi usimpe mtoto nyingi,ni vijiko vikubwa vitatu mpaka vinne vinamtosha,na maji pia ni kijiko kikubwa kimoja au viwili basi,
hakikisha anashiba vizuri kama walivyoshauri hapo juu,kingine muangalieni labda mnamfunika manguo mengi kupita kiasi anasikia joto au mnamsahau na pempas/nepi muda mrefu inamkera,mnamuweka pozi moja la kumbembeleza anachoka,pia mmemfungia ndani kwenye chumba ambacho hakuna hewa safi inayoingia kirahisi
mama mtu ale ashibe sawax2 mtoto apate maziwa mazito, na kama ni mtoto wa kiume inawezekana hashibi vizuri,mfanyie mpango wa maziwa ya kopo au uji wa dona mwepesi sana,unaochujwa unakuwa kama maziwa (akina bibi wanajua jinsi ya kupika huu uji wa watoto wachanga),Me wife nilikuwa naweka sura ya kazi hasa likija swala la yeye kugonga msosi alipojifungua,wanawake wa siku hizi wanautaka umisi wakati wa malezi ya mtoto mchanga,usikubali hilo kaka,mtoto ataharibika.
 
Juice kwa mtt mdogo saana sidhan ka nzuri
Haina neno mkuu,inachotakiwa isiwe ya matunda yenye acid nyingi,iwe ya ndizi mbivu au parachichi,na apewe kidogo sana vijiko vitatu mpka vinne basi.
 
sababu nyingine mwangalieni kitovu, kuna dalili ya hicho kitovu kuvimba? kama kuna dalili ya kuvimba hiyo ni umbilical hernia inamsambua sana kila akila akashiba ni shida. Muone daktari kwa ushauri, ingawa wanasema muache after 18 months itaisha na hata huo uvimbe utaisha.

hayo ya majina na vingine inategemea mila na desturi ya wewe na familia
 
Kwenye kitovu hapo nahisi kuna kitu..
 
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Huyo hashibi ana njaa,mpe cerelak ,maziwa na uji akishiba hatalia tena.ulete mrejesho.
 
Back
Top Bottom