Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Kibao kinaweza kukuonyesha kua mbele kuna kona kali ila ukakuta niya kawaidatu hivyo nibora tukafata hoja kua mtoto apone kwanza mkuuMkuu profile picture yako inatoa ujumbe mkubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibao kinaweza kukuonyesha kua mbele kuna kona kali ila ukakuta niya kawaidatu hivyo nibora tukafata hoja kua mtoto apone kwanza mkuuMkuu profile picture yako inatoa ujumbe mkubwa sana
Anaruhusiwa na uji pia,akishiba hatalia tena,na zawad yangu natakaSamahani mkuu.. Miez miwili anaruhusiwa kutumia cerelak
Nitaleta mrejesho plus zawadAnaruhusiwa na uji pia,akishiba hatalia tena,na zawad yangu nataka
Wakike ila wanasema ni tatizo la changowa kwangu ni wakiume.. Wako ni jinsia gani mkuu?
Kumbe chango ni kwa watoto wote nilizani ni wa kiume peke yake.. Kwa hyo ww umeng'amua lipi kwenye huu uzi..Wakike ila wanasema ni tatizo la chango
Kaka nataka kutoa maelezo ya tiba kutokana na style anayoumwa mtoto huyu anayezungumziwa ndo maana nataka kumuelekeza huyu dawa maana sio wote wa style hiiHuu sasa ni ubinafsi. JF ingekuwa hivi, isingepata wafuasi.
Weka maelezo hapa ili usaidie na wengine.
Nisawa ila nataka kujua zaidi kuhusu mtoto huyu ili nimuonyeshe dawa mbalimbali ndo maana nikamwambia ajaribu kama anamtekenya au anamminya tumbo akiona anajikunjakunja(kujinyonga) aniambie nakama vipi awekee sikio kwenye tumbo wakati ule ndo anaanza kulia asikilize kua atasikia sauti ya tumbo kunguruma? Akinipa mrejesho namuelezea dawa sasa akipona ataleta mrejesho humu mkuuMkuu haiwezekani kushare hapa ili nawengine wafaidike..
Mtoto wa miezi miwili haruhusiwi kula wala kunywa kitu chochote tofauti na maziwa na dawa pale itakapo mlazimu hivyo kama itagundulika anaumwa na dawa ni juice hana budi kunyweshwa mkuuJaman mtoto wa miezi miwili juice?? Mi nadhan n mda wa maziwa tu au wajuz mnasemaje
Ukimminya anatakiwa kufanya nn kama asipojikunja? Ili tuchukulie kama reference pointNisawa ila nataka kujua zaidi kuhusu mtoto huyu ili nimuonyeshe dawa mbalimbali ndo maana nikamwambia ajaribu kama anamtekenya au anamminya tumbo akiona anajikunjakunja(kujinyonga) aniambie nakama vipi awekee sikio kwenye tumbo wakati ule ndo anaanza kulia asikilize kua atasikia sauti ya tumbo kunguruma? Akinipa mrejesho namuelezea dawa sasa akipona ataleta mrejesho humu mkuu
Acha uongo mkuu,mtoto anakula tena sana.Acha kumdanganya dunia imebadirika.Mtoto wa miezi miwili haruhusiwi kula wala kunywa kitu chochote tofauti na maziwa na dawa pale itakapo mlazimu hivyo kama itagundulika anaumwa na dawa ni juice hana budi kunyweshwa mkuu
Mtoto wangu wa kwanza alikuwa kama wa kwako, tatizo tuliambiwa na Dr bingwa wa watoto ni gesi .Kuwa makini unapomnyonyeaha tumbo lake liwe intact na la kwako...yaani alale kiubavu.Baada ya kunyonya mlaze begani kwako hadi acheue...endelea hivyo hivyo ili kutoa gesi tumboni.Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Vipi ushauri wa kuombewa!!Mimi nina utaalamu kidogo na hawa watoto wadogo chini ya miaka 5
Jaribu kumshika tumbo akiwa amelala na kumshika pembeni(mbavuni) ukiona anajinyonga hilo ndo tatizo lake naugonjwa huo hospital hawana dawa ila kuna majani ambayo ni dawa ila sidhani kua huko hapo ila jaribu kuni PM unipe no za whatsap nikutumie picha za dawa na tuwasiliane tuweze kumsaidia mtoto maana hata kama wamemloga itasaidia
Unaweza kushauriwa umpe ugali wa dona eti akabiliane na kisukari.Naona watu wanashauri apewe juisi
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Solution yake huwa inakuaje hapo? Tho mtoto anafanana na mama yakeUnauhakika ulipojifungua huko ' Leba ' huyo uliyenae ndiyo alikuwa Mwanao halali? Yawezekana analia lia hivyo kwakuwa pengine Wewe siyo Mama yake au labda Manesi walikuchezea mchezo au walikosea wakati wanakukabidhi. Hili nalo huwa ni tatizo sana Mkuu. Pole sana lakini!
Hahaa hapana mkuu nafidiafidia ma gape, kalitusumbua sana mudamrefu hatulali kanatutia pressure.Hapo kwenye nyekundu Mkuu, nimecheka sana. Au unataka kumleta mdogog wake nn?
Hahaaa ndio mkuu, miezi 3 inatoshasana kilakitu kipya.Ahaaa.. Mkuu umenifuraisha.. Umesharudi uwanjani siyo!! Ha haaa