Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Tulia ugongwe..na ukatike,ulikua unafurahia tu send off na kitchen party,we ulifikiri anakuoa ili mfanye nini!?
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Unazungumzia wavulana,yaani Mimi na general wa Hamas tukirudi nyumbani tuanze habari za umbea na mke wangu!!?..
 

Badala ushangilie et naumia sana ! uzeeni kuna kisukari hyo mikiki utaikunbuka sana
 
Umewahi kumuuliza baba yako kwanini alikuwa hivyo?
Anaweza kuwa na siri kubwa sana ukiambiwa utamuelewa.
 
Wakati wa uchumba hali ilikuwa hivi pia?
Ndiyo, ila niltegemea atabad
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Ahsante kwa ushauri
 
Unataka kuchukua uamuzi gani mkuu!?

Nakuelewa mkuu, nami napenda kwenye mahusiano kuwe na urafiki ndani yake, ila shida kila mmoja na hulka yake.. Huenda hiyo ndio hulka ya mumeo, je alikuwa hivyo toka awali au kabadilika siku hizi!?
Niwe muwazi, ckuliona hill kwasababu kwenye uchumba kuna mambo mengini San huwezi mjuw mtu vizuri hadi uishi nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…