Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Anatoka asubuh kurudi saa5 usiku hana jmosi wala jipil wala sikukuu
 
Nime kuelewa sana
 
Wewe ilitakiwa umpate wa kimoja Chali wiki inapita.
 
Pole sana na pongezi sana kwa kumpata na kumuhudumia mume asie na mchepuko....

Mwenzio ameshajua na kubaini ladha yako ya kimwili ilipo na naamini hachelewi kurudi home usiku hata kidogo...
Mvumilie kidogo tu atabaini ladha yako ya kiroho kisha ndoa yako itakua bam bam zaid hutojuta....

Katika hali ya ustahimilivu, hebu jitahidi tahidi kurelax na kujitoa bila kujibakiza na hapo itakua ni fursa nawe kuanza kubaini ladha yake ya kimwili na hatimae kiroho.....

Tafadhali usichoke, ukiona maumivu ni makali sana ujue utamu shangwe na vigelegele vimekaribia. Kamatia na kushikilia apoapo....

Kuna watu wanatamani hiyo fursa na hawaipati...
Tumia fursa hiyo vizuri, ili ukiikosa mbeleni usijute....

Tambua uko wew pekeyako, hongera sana...
 
Kama ndoa bado mpya wewe furahia itafika mda utaanzisha uzi mwengine mune wangu hanipi akinipa kimoja tukuoe ushauri kabla hujafanya uamuzi. Kikubwa ukitumia uanamke wako vyema utakuwa mke, rafiki, mshauri, business partner na mtapeana hata umbea.

Kwa sasa acha arudishe mahari
 
M Unaumia sana umesema.
Sa me naomba ufafnuzi kdg, unaumia sana sehem za siri kwasbb jamaa anazitumi sana au unaumia nn ?
 
Yaani.
Kipindi ulivyokuwa kwenu malalamiko eti ni kuongea tu hakuna anaanaanado,umetoka kwenu ili upewe ulichokuwa unakikosa malalamiko tena.
Anyway,mchukue mkakae naye kwenu ili mshauriane mbele ya wazazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…