Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Hayo mambo ya faragha unayaletaje hadharani. Unaumia nini, hakuandai vizuri au vipi? Yaani ufanye maamuzi magumu kwa sababu ya tendo la ndoa!
Hivi kwenye yale maagano ya ndoa hukusema kutoka moyoni kuwa unampokea katika shida na raha, magonjwa na uzima?
Kwa taarifa yako, kuna wanawake baada tu ya kuolewa, waume wao wanawaambia hawana hamu ya kufanya nao mapenzi au wakifanya hawajisikii!!
 
Mshikie mimba ya pacha 3 atatulia.
 
Kwa Wanaume...
Mliishawahi kufahamu wanawake wanataka nini?
Pasua kichwa sana wanawake wa hivi.
Ila mi nashukuru mahitaji yangu yako so straight to my man.
Nimenyooka kama rula.

hiki sitaki na sitafanya.
hiki nataka na ninakitaka
hiki hutapata
 
Kwani kwenu alikuja kutoa mahali uwe rafiki wake?,,sasa unataka hiyo pusi yako ipumzike igundue nini?? Ok ambia aongeze mke wa pili upumue
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Yaani nipige umbea badala ya kuikamatisha panya hiyo pusi,thubutuuuu😁😁
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
🤣🤣🤣
 
Huwa anapenda kuongea nini (topics gani) labda invest kwenye hizo topics ili mpate cha kuongea sometimes watu mpo kwenye different wavelength
 
Labda tukwambie kwa kiswahili sanifu uliolewa ili ut.ombwe na kuzaa watoto. Samahani lakini
 
Muongee nini? Kwani hakuhudumii kimwili na kipesa?
 
Mkiacha kupigwa miti sawasawa mnacheat na kumdharau mume!
Namuunga mkono mmeo yaani inatakiwa akupige mboo kila siku mpaka utulie na kumheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…