Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Mbona kasema anampa kila kitu.Zaidi ya sex, mume wake hana amshaamsha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kasema anampa kila kitu.Zaidi ya sex, mume wake hana amshaamsha.
Hayo mambo ya faragha unayaletaje hadharani. Unaumia nini, hakuandai vizuri au vipi? Yaani ufanye maamuzi magumu kwa sababu ya tendo la ndoa!Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Ndoa haina formula.Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Mungu mwemaSijambo kidogo, vipi wewe unaendeleaje?
Mshikie mimba ya pacha 3 atatulia.Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Pasua kichwa sana wanawake wa hivi.Kwa Wanaume...
Mliishawahi kufahamu wanawake wanataka nini?
Kabisa awe hata anampa style ya kususa km anakuwa amechokaJamaa before hajakuoa alikuwa anakosa wa kuwatom....ba. Sasa kakuoa wewe ndo inaziirisha illooo mwache akutie tuuuu just uwe una badilisha style....tuuuu
Kwani kwenu alikuja kutoa mahali uwe rafiki wake?,,sasa unataka hiyo pusi yako ipumzike igundue nini?? Ok ambia aongeze mke wa pili upumueHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Yaani nipige umbea badala ya kuikamatisha panya hiyo pusi,thubutuuuu😁😁Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
🤣🤣🤣Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Labda tukwambie kwa kiswahili sanifu uliolewa ili ut.ombwe na kuzaa watoto. Samahani lakiniHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
🤣🤣Anaona kuwa unachokiweza ni hicho tuuu, usishangae sana.
Muongee nini? Kwani hakuhudumii kimwili na kipesa?Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Mkiacha kupigwa miti sawasawa mnacheat na kumdharau mume!Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
🤣🤣Mabaharia tushakuelewa mama, acha tufanyie kazi malalamiko yako...