Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Unataka kuchukua uamuzi gani mkuu!?

Nakuelewa mkuu, nami napenda kwenye mahusiano kuwe na urafiki ndani yake, ila shida kila mmoja na hulka yake.. Huenda hiyo ndio hulka ya mumeo, je alikuwa hivyo toka awali au kabadilika siku hizi!?
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Mazoea yakizidi sana ni balaa, hamchelewi kupanda kichwani na kuanza kumuendesha Mwanaume mnavyotaka nyinyi Sasa Mwanaume anaejielewa anaweka misimamo yake tuzoeane Ila tusizoeane sana maana mazoea yakizidi sana utaanza kuniona Mimi km kaka yako tu
 
Achana naye upate mwingine kama wanapatikana kwa urahisi hivyo.
 
Punguza mdomo
Amesema anaongea sana?

Huyu yeye amempenda jamaa hadi anamuoa anajua hii jamaa yangu sio ongeaji wala sio semaji kwa hio aendelee hivyo hivyo wakimya wana mengi ya kuongea Ila sio kila wakati wanaongea jamaa hakumuoa ili apige nae story kila wakati yaan abadirishe nyumba yake kijiwe cha umbea alimuoa ili apunguze uzito
 
Hufurahii sex na mumeo?
Au unafurahia ila imekuwa too much,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…