mke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache
2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi
3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye
n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.