Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Habari wana jamii
Napitia maumiv sana kwenye ndoa yangu naomba kushea hii kabla sija chukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama mume wangu hana mapenzi na Mimi
Hudumu anatoa kila kitu lakini. Hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamaani hii kitu inaniuma sana, nimesha zungumza nae Mara kadhaa lakini habadiriki sasa nashindwa kuelewa. Lqbda wanandoa mje nifafa nulie hili
Je MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki.??
Naombeni mnishauri naumia sana..
Nawapenda nyote.
Aise wanawake duuuh, haya abweteke akae na wewe huduma zikilega utakuja na uzi mume wako hatimizi majukumu ya kukuhudumia.

Sasa akae na wewe hela za kukuhudumia zitadondoka kutoka mbinguni ?! Kimsingi mwanamke daima atalalamika tu mmeumbwa kubwabwaja, kuishi na mwanamke kunataka roho ya chuma.

Mwanaume mwenzangu kamwe hauwezi kumfurahisha mwanamke fanya wajibu wako basi, mwanamke hata umnunulie Range model 2022 atajichekesha siku ukishindwa kumnunulia mafuta akatokea jamaa akampa 30K ya mafuta utatukanwa matusi yote na jamaa atamwagiwa sifa kedekede.
 
Hapati furaha na amani ya kukaa na kuongea nawe; jaribu kuangalia vema jinsi unavyoongea naye kama mda mwingi una mbishia, mkaripia au unaongea kama cherehani hawezi kupata hamu ya kukaa kupiga story nawe.
Umeongea vizuri sana Mkuu. Wanawake wengi siku hizi haswa Wenye kipato Kidogo wanafeli hapa. Wanadhani wanakaa na maroboti au watoto wao vyumbani. Ndio shida za kukurupuka kuingia kwenye Ndoa bila Mafundisho ya kutosha.

Si ajabu akashauriwa na akashaurika kuwa atafute mchepuko Ili wawe wanaliwazana kwa kupiga story!
 
Aise wanawake duuuh, haya abweteke akae na wewe huduma zikilega utakuja na uzi mume wako hatimizi majukumu ya kukuhudumia.

Sasa akae na wewe hela za kukuhudumia zitadondoka kutoka mbinguni ?! Kimsingi mwanamke daima atalalamika tu mmeumbwa kubwabwaja, kuishi na mwanamke kunataka roho ya chuma.

Mwanaume mwenzangu kamwe hauwezi kumfurahisha mwanamke fanya wajibu wako basi, mwanamke hata umnunulie Range model 2022 atajichekesha siku ukishindwa kumnunulia mafuta akatokea jamaa akampa 30K ya mafuta utatukanwa matusi yote na jamaa atamwagiwa sifa kedekede.
Siku pia akikutana na mkunaji mzuri kuliko wewe , atamwagiwa sifa na wewe kutukanwa. Kweli hapa wanaume ni kufanya unachokiweza na wala usiwawazie.
 
Sijui nimekuelewa, Nilichoelewa ni kwamba mumeo hana muda wa kukushirikisha/kujadiliana chochote hata kama kuna uwezekano wa kutokea hatari/madhara.

Nakumbuka hii hali nikiwa nakuwa mama alikuwa akilalama kutoshirikishwa au kutokuongea as family na mzee. Madhara yalionekana kwa baadhi ya mambo ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wa mama ila kutokana na hali hiyo ilikuwa ngumu kwake kufanya chochote. Mzee kaja kuchange jua lishazama na mambo mengi yameshavurugika. Hata taarifa tu kumshirikisha mwenzie ilikuwa changamoto, ye ni kufoka tu baada ya madhara. Hii kitu mpaka nakuwa najitambua niliona mwenyewe mzee alikuwa anazingua kwanza hakubali kushaurika mpaka kesho hii tabia anayo, atatafuta solution baada ya mambo kuharibika ndio ataanza kusema sasa hapa tunafanyaje. Mambo mengi yamefeli kwa sababu hiyo.

Sio kila kitu ni cha kushirikishana/kuongea ila kuna mambo ambayo ni vizuri kushirikiana na mwenza wako kama familia.
 
Kabisa hata mimi nimeliona hili.
 
Hakupendi huyo [emoji23] au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute [emoji3][emoji1787]
Sometimes kuna wanawake hawavutii kukaa na kuongea nao. Mfano: Mwanamke kila mkiongea anataka kua mbishi, au yeye ndo anatoa sauti ya juu kuliko mwanaume hapa inakata stimu kabisa ya kupiga nae story.

Mnabaki kutekeleza mambo ya msingi tu
 
Back
Top Bottom