Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Ukiona kijana wa Africa ameoa ujue anatafuta ngono wapo watu wachache Sana ambao wamevuka hiyo hatua ya kuiwaza ngono na wengi ndo hao wametuajiri
Labda ukatafute mwanamke wa kizungu au kihindi, hawa ukijifanya una kazi nyingi alaf ile hamu yako ikakata , wanaenda kwingine. Alaf wahindi wengi wanaoa watu fresh haijatumika, so tabu hakuna.
 
Nilichoelewa mimi mume wako amebeba majukumu mawili lakini wewe unataka matatu.

Yeye ana
1. Kutunza familia
2. Tendo la haki

Wewe unakosa
3. Ukaribu, kubembelezwa, kudeka, na mengineyo yoote yaendanayo na haya.

Hatari yake ni kwamba akitokea mtu yeyote akakupa attention mwamba amekwisha.
Ndivyo mioyo ya wanawake inafanya kazi.
 
Nilichoelewa mimi wako amebeba majukumu mawili lakini wewe unataka matatu.

Yeye ana
1. Kutunza familia
2. Tendo la haki

Wewe unakosa
3. Ukaribu, kubembelezwa, kudeka, na mengineyo yoote yaendanayo na haya.

Hatari yake ni kwamba akitokea mtu yeyote akakupa attention mwamba amekwisha.
Ndivyo mioyo ya wanawake inafanya kazi.
Kabisa.
 
mke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache

2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi

3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye

n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.
 
No chemistry there.

Hamuendani.

Hayo mahusiano mmefanya kufosiana matokeo yake ndio hayo no intimacy [emoji108][emoji108]

Yapo mahusiano mengi ya hivyo Mbona kwenye jamii yetu.

Wengine mke na mume wanachoweza kuongea pamoja ni kusema Mchele umeisha au mke kuomba Hela ya matumizi basi [emoji108]
 
Una kitu usikilizwe.
 
Mengi sana
 
Usifananishe maisha ya daladala na ndoa. Dereva sio kiongozi, yeye huongozwa pia, ndo maana ajali ikitokea ataenda kujiokoa, hajali abiria. Mwanaume ni kiongozi, haongozwi na mtu, ndo maana ikitokea ajali, atahakikisha anaokoa familia yote hata kurisk uhai wake.
Hilo daladala umelisema wewe, tatito mnageuza geuza maneno km chapati hayaaaa
 
Back
Top Bottom