Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Hata wazee wa zamani walisema "Ukikubali kuolewa kubali kulala uchi".Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Wewe ni wale aina ya wanawake mliopitia trauma na hivyo mnachukia sex.
Mie mke wangu anajua, naweza toka job kuja kula lunch nikamla kimoja cha fasta na yeye. Na ana enjoy, anafurahia sababu anakua anajua kwa hilo natimiza kwake sitoki nje (japo natoka ila yy anapata assurance)
Sasa wanawake type yako ndo mnahitaji tuwe na subscriptions za mwananyamala au riverside