Msaada: Muwasho mkali makalioni baada ya kutembea na mke wa mtu

Acha urongo!
 


Wewe hujasikia kwamba "Mke wa mtu ni sumu??!!," sasa sumu imeanzia makalioni kabla ya kusambaa mwilini kote.

Mfuate huyo demu na umueleze hiyo shida na usikie atasemaje??
 
Mkuu hapo nifangasi nayawezekana huyo mwanamke ndio kakuambukiza.

Kuna siku niliuliza 'hivi majimaji ya mwanamke yaukeni yakikugusa sehemu zahaja kubwa kuna madhara yoyote?' ila majibu niliyoyapata humu mengi hayakuwa rafiki.

Niliuliza vile baada yakufanya zinaa namwanamke alafu kuna style tulipiga yeye akiwa juu mimi nikiwa Chini mabaharia wanasema alikuwa anajipimia, wakati akimaliza yaani kupizi alitokwa nauteute mwingi ambao ulipitiliza hadi kwenye anus yangu. Kesho yake niliamka nikahisi panawasha sana ndio nikahisi labda nitatizo nandio nikaja kuuliza swali hapo juu. Ila mwisho wasiku niligundua uenda nifangasi.

So hata wewe uenda nifangasi mkuu wala wasikutushe ukaenda kujikamatisha kwajamaa.
 
Kinachokutesa ni matatizo yako binafsi ya kiafya. Hiyo ya kutembea na mke wa mtu ni kukwepa uwajibikaji tu.
Mbona mimi natembea na wake za watu wengi sana kwenda nao sehemu mbalimbali lakini sipatwi na matatizo yoyote.
 
Umejuaje? Wewe ni Sangoma?
Tulimzika jirani aliyeanza kuwashwa na mkuyenge. Baada ya muda ukaanza Kubota vidonda na mwisho wa siku ulioza wote na kubaki na shimo tu. Alikufa akiwa na shimo tu na wakati wa msiba nilisikia alikula mke wa mtu aliyetegwa.

Kwa maelezo hayo, nimeunganisha nukta
 
Unawashwa juu makalioni au hapo katikati kwenye mnduku/ honi?!
Sema tatizo lako kwa watu wakusaidie
 
Astakafullah......
Naona wanaume tunazidi kupungua kwa kasi wallah
 
Hatari! Mfano mwenye mke kafa, inakuaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…