Msaada: Muwasho mkali makalioni baada ya kutembea na mke wa mtu

Tembea na mafuta kabisa mfukoni just in case ulomlia mali zake akikukuta mmalizane kibingwa
 
Wee si ndio uliwekaga uzi unataka kunyoa nyusi eti huzipendi ndo wakati huu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu si injinia wa NASA au,!?
 
Yaani watu wengine bana .kula tunda umekula pekee yako. Haujatushirikisha alafu unataka tuumize kichwa chetu kukutafutia suluhu.
 
Kila siku mnaambiwa mke wa mtu...mme wa mtu ni sumu lkn hamtaki sikia ata ...ona ss unavyopata aibu...dah pole sn...kwnn usiridhike na wa kwako jmn
Umeongea kwa hisia sana.
 
Hahahahahahah ukome!
umenikumbusha jamaa mmoja mwizi sugu wa kuku, kuna siku alikosea chaka akaiba kwa mtu wa kujiongeza.
Akaanza kutaga mayai kila asubuhi moja, yalivokua mengi na akaanza kuwa na hali ya kuku anaelekea kuanza kuatamia, akajisalimisha kwa mwenyekiti wa mtaa amsaidie maana hakujua nani kamtengeneza maana anaiba sehemu tofauti tofauti.

Utaukalia tu, na ulete mrejesho.
 
Mfanyakazi wa NASA uliwashwa hadi matako?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…