ahmed omar
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 270
- 215
Tunapewa nyumba ya kuishi na usafiri kwenda na kurudi kima cha Chini security guard laki 9 za nyumbaniNimejifunza mambo mengi Sana ktk huu uzi Mkuu.. sina mpango wa kwenda kuishi nje ya nchi ila huu uzi ukiugeuzageuza ni darasa tosha.
Ofcoz inalipa.. changamoto kubwa ni namna ya kuondoka huku.. Mimi sina mpango wa kuishi nje ya nchi ila nampenda Sana vijana wanaojilipua.Tunapewa nyumba ya kuishi na usafiri kwenda na kurudi kima cha Chini security guard laki 9 za nyumbani
Shida ni Tanzania hawaruhusu watu kufanya kazi nje ya nchiOfcoz inalipa.. changamoto kubwa ni namna ya kuondoka huku.. Mimi sina mpango wa kuishi nje ya nchi ila nampenda Sana vijana wanaojilipua.
Umeelewa lakini concept yangu au mhemko mkuu?[emoji849][emoji102] tuwe serious !!
funguka zaidi jemedari, kazi mbalimbali na malipo yake pia namna/njia gani ya kutumia kupata kazi baada ya kufika huko?Tunapewa nyumba ya kuishi na usafiri kwenda na kurudi kima cha Chini security guard laki 9 za nyumbani
nadhani sio wakati wa kuisikilizia Tanzania inaruhusu au hairuhusu. tunazidi kudumaa ndani ya hii inchi, ni muda wa kutoka na kupambana na kesho yetu.Shida ni Tanzania hawaruhusu watu kufanya kazi nje ya nchi
Wa Kenya wana roho mbaya sana! na wana wivu mkubwa kwa Wa Tanzania.Wanakuwaga wagumu sana maana wa bongo wengi wazinguaji, unakuta mtu hana hata passport halafu anaenda agent wa Kenya ..kwa hiyo wanawakataa..halafu pia wanaweka bei juu sana kwa watz, unakuta hadi USD 1000 uko wakati kwa mkenya mwenzake ni 100 tu.
Wanakuzuia airport. Bongo wana mambo ya ajabu sana. Wanataka wote tufie hapa hapa na njaa.nadhani sio wakati wa kuisikilizia Tanzania inaruhusu au hairuhusu. tunazidi kudumaa ndani ya hii inchi, ni muda wa kutoka na kupambana na kesho yetu.
akina nani wanakuzuia?Wanakuzuia airport. Bongo wana mambo ya ajabu sana. Wanataka wote tufie hapa hapa na njaa.
Kenya na Uganda hawana huu ujinga. Kila mtu yupo huru kufanya kazi popote.
upo ughaibuni, ukipata muda tafadhali funguka zaidi kwa kutuonyesha fursa zilizopoKabisa wakenya na Uganda wako wengi Sana huku
Kuna mkenya juz alikua anaomba msaada, ni graduate wa univerisity, alienda kufanya kaz saudi arabia, aliua halali, anafanya kaz 24 hours, yaan analala 11:30pm na kuamka saa 4:00AM daily. Hiz nchi za kiarabu sio poaKijana tafuta fursa nje ya nchi acha uoga ..leo una miaka 28 kesho haitakuwa hivyo. Uoga wetu unatukosesha pesa huko nje ..wakenya wanapiga sana pesa.
Kuna rafiki yangu wa Facebook.ni raia wa Kenya Sasa hivi yupo saudia ni mwalimu.anasema yeye alitumia wakala.Baada ya kufatilia sana, kuna kitu nimegundua. Makampuni mengi nchi za kiarabu wanaprefer zaidi wakenya kuliko watz.
Kuna agent wa Kenya ananishughulikia issue yangu, siku ya kwanza tu aliniuliza kuhusu passport yangu ni ya nchi gani, baada ya kumwambia ni ya bongo akasema nimtumie. Ni miezi sasa imepita but kila nikiongea nae anasema bado hajafanikisha kwani passport ndio kikwazo japo kanihakikishia kuwa ni 100% kupatikana kwa kazi.
Kwahiyo ndugu zangu, kama bado hujapata passport fanya mchakato upate ya Kenya. Kuna watu nikisema passport ya bongo au ya kenya hawaelewi, paasport ni ile ile but ombea kenya uwe kama mkenya. Ni rahisi sana kupata mchongo uarabuni ukiwa raia wa kenya
Kaka huko sio.Mtu yuko serious anatafuta kazi wengine wanaongea utumbo tuu na kukatisha watu tamaa
wanakupoteza bila sababu au ukileta tamaa?Kaka huko sio.
Kukupoteza sekunde.
hapana boss wangu.....bado nahangaikia passpot...ila sijafanikiwa kupata connection badoVipi uliweza kuondoka?
Unatakiwa kupata passport kwanzahapana boss wangu.....bado nahangaikia passpot...ila sijafanikiwa kupata connection bado