Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

kiukweli ndugu yangu vigezo bado sina...ila kama huto jari naomba niiifadhi hii comment siku nitakapo kuwa nimeshatimiza vigezo...pakiwa na nafasi nyingine tafadhali sana nitaomba uniconsinder....bado nilirenew leseni yangu bado haijatoka na passpot pia bado japo ndani ya wiki ijayo naweza kuwa nimeipata passpot...ila kwa upande wa leseni sina uhakika
 
Ukifika Dubai usitusahau ndugu zako.
 

Dah kwa kweli inauma sana, inaumiza lakini ni ukweli sisi tupo nyuma sana, Yani Dubai wa Kenya na waganda ni wengi sana inatia wivu kabisa
 

MKuu kwanza hongera kwa kuwa na uthubutu wakutaka kufany maamuzi kama hayo.

Waganda na wakenya wapo mbali sana, na wanakula matunda ya kaka zao waliotangulia kwenye hayo ma beach, sisi kaka zetu waliotangulia wengi wao walikata tamaa mapema na waliofanikiwa wakawa ni wabinfsi sana.

Nina uzoefu wa kiasi kuhusu Dubai.
njia nyepesi ya kupata ajira ni kujiripua tu mkuu, ukate ticket na visa kama ya miezi mitatu wende ukatafutie kule kule kazi, hapo ni rahisi zaidi kupata kuliko ukiwa huku.
 
Prince Mhando Na pia kama utakua na hela kiasi ni vyema kufanya haya ninayokwambia, Ukafanye training ya either week au 2 weeks ya security ili upate leseni ya DUBAI ya security hii itakurahisishia kupata ajira kiwepesi sana, ndio michongo wanayotumia wahindi na wanigeria. Ila ni bei kidogo hiyo training inaweza kufika dirham 4000. (kama 2.5m ya kibongo) Ila ukiwa nahiyo uhakika hulali na njaa.
 
asante....ila nimeona njia ya kujilipua ni very risk sana kamanda...kwasababu nahitajika kuwa na pesa nyingi...hivyo sito mudu kabisa...kipato changu kwa sasa nikiamua kuweka pesa hadi ifike 1m maana yake hapo nizime simu zote niishi maisha ya peke yangu peke yangu...kiukweli siwezi pesa ninayopata ni ndogo sana
 
na kwa hapa bongo nilisoma course ya security basic ambayo kampuni ninayofanyia kazi walitusomesha hivyo ninacho cheti...je kitafaa...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…