Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

Mkuu,
Tafuta contact za hicho chuo, uliza utawala kama wanafunzi wapo field muda huu. Kutokana na majibu utakayopata utajua kama dogo ni mkweli au la
 
Kwaniaba ya Mtoa uzi......WEWE NI KANAKAKE KAJINGA.


KATAAA KUBALI.
 
Hii mada imenikumbusha kuhusu kabinti flani hivii kalikua kanasoma UD, kametokea kwao Moshi. Nilichakata papuchi hadi nikaikinai. Kakipigiwa simu kwao kanavyowaongopea sasa[emoji23][emoji23]
Sijui hata Sasa kako wapi
Kuna kingine nilikua nako kalikua kanasoma chuo cha St.Joseph kule kibamba. Weeeh nilikafundisha raha zote, ilikua mwendo wa kuchakatana tu na UE ikifiika kanapata Supp.
 
😂😂st joseph mwaka gan mkuu??
 
Kuna mademu nimesoma nao chuo na hawajamaliza wameishia kurudi nyumbani na watoto, yaani demu ana pata mimba akiwa chuo anailea mimba bila home kujua kwa sababu anakwepa kurudi likizo anajifungua, ana disco au anamaliza frssh na mnashangaa anaingia siku home na kid😂😂wengine wanajifungulia hostel ni noma vyuo kuna mambo mengi sana, uyo atakuwa nje ya dodoma au umo umo dom vacation au ata hayupo kwenye hali ya kawaida
 
Dah.....binti mkubwa huyo....usimfuatilie sana.....Cha msingi msisitize mara kwa mara.....aslan asisahau ndom ....muhimu sana kwa maisha yake ya baadaye🤭
 
Tulia tuichakate papuchi yake.
Ila wanafunzi wa vyuo vya Dodoma wanatiwa aisee. Sijui ni ugumu wa maisha su nini.
Kote ni hivyohivyo sema Dodoma mji mdogo ni rahisi kujulikana, kingine watumishi single ni wengi.
 
itakuwa Ni kweli yuko field, kwa maelezo zaidi fika chuoni,, bado vipo vijiji mtandao unasumbua Sana, lakini km wewe ndo unaemlipia ada ni kwanini hakukujuza hiyo field kabla!!!
 
Haja safir popote..washambebesha mimba ....ameogopa tu kuonana na ww maana utaanza muuliza mara mimba ni ya nani
 
Wanafunzi wa mipango baadhi hawapo chuo, wamesambazwa baadhi ya wilaya za hapa dodoma.
Na bahati mbaya maeneo mengi ya wilaya hasa bahi,kondoa na kongwa mtandao huwa changamoto.

Ushauri wangu,kabla ya kuhukumu jiridhishe KWA uongozi wa chuo.
Hapa jukwaani utapigwa ganzi SANA
 

Inawezekana na shida ni malezi yenu, sioni namna mdogo wangu anaweza kuthubutu kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…