Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

Wee
nenda chuoni ujue matokeo yake, watoto wa chuo kuishi kwa mwanaume kawaida. Awe makini na mimba na magonjwa basi
 
Dada nmesoma hapo huyo anakudanganya tu waliopo field ni diploma au certificate ndo mida Yao hii kuwa field ila kwa ngazi ya degree ni Hadi mwezi wa 7 au wa 8
Ni hayo tu
 
Unampangiaje mdada mtu mzima, asiliwe mkuu wewe chamsingi msisitize ajue wajibu wake over! Otherwise una agenda ya siri na yey ila kama ni kumsaidia tu maswala ya ada mtu akishafika chuo anajielewa na hawezi kuwa bikra
 
Muombee tu Mungu amuepushe na mabaya ukiongea naye usiache kumshauri kuhusu maisha mengine mwachie.
 
Mambo ya udinidini,ukichanganya na umalaya wa kujificha,ndiyo unapelekea kupata mimba kizembekizembe,wadada ambao wao ni sex oriented wakiwa chuo,wanatumia P2 na njia nyingine,kuzuia mimba.Hawapati ujauzito kizembe wakati wanatumika vibaya mno.
 
Unampangiaje mdada mtu mzima, asiliwe mkuu wewe chamsingi msisitize ajue wajibu wake over! Otherwise una agenda ya siri na yey ila kama ni kumsaidia tu maswala ya ada mtu akishafika chuo anajielewa na hawezi kuwa bikra
Aachwe aliwe hovyohovyo ila akipata matatizo ndo ahudumiwe vizuri sindiyo mkuu?
 
Kumtembelea Mtu mzima chuoni kuna utaratibu au Wewe unasemea Chuo gani ndugu????
 
unadanganywa wazi wazi
mdau ashasema degree hamna aliyeko field kipindi ichi
 
Mkubwa Tayari ..kikubwa asome tu vizuri hauwezi kumlinda na maliasili anatembea nayo yeye.
 
Kama mdogo wako matokeo yake chuo yapo vizuri na ni mzima wa afya, hayo mengine potezea. Mtu aliyefika chuo tayari ni mtu mzima anajua jema na baya.
 
Kumbuka bunge linaendelea vibabubunge vina hela na ukimwi juu.
Mwambie awe makini kutumia condom.

Mengine usijali angalia performances zake.

Zisiporidhisha chukua hatua.

Mkubwa hachungwi
 
Inaonekana ndiyo zako kuficha binti za wenzio, sasa zamu yako unaumia
 
ni jana tu mzee mmoja ananisimulia ana kabinti chuo cha mipango, ni mtu ambae ana familia yake. na kuonyesha kuwa lao ni moja huwa akienda kule kama wapo wawili anamwambia babisa binti aje na mwenzake.
 
Kwakua n mtu mzma na anajielewa mwachen afanyr anachotaka then yakimkuta abak anajuta yy cox nyie mlimpambania kwa jinsi mlivoweza, kumchunga mara zote hutoweza
 
Kaaaa weee nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…