Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

Pole sana sema ungeenda hapo chuoni ukaulizia japo inajulikana tu dogo tayari ka mature enough
 
jitulize mkuu huwezi jua hako kadogo kako kanapata manufaa gani kutoka kwa hao mababa watu
 
Mbona wanachuo washamaliza field na kurudi vyuoni hata kabla ya pasaka?
Maana kuna kimoja nakitafuna kinasomaga hapo tena course hiyo hiyo ina maana wanasoma na huyo wa kwako.
Wadada wa vyuo wako na mambo mengi sana hivyo we fanya kilichokuleta Dom then usepe zako ukimfuatilia utakuja kuumia zaidi ukiyajua maana yawezekana yuko field ya mapenzi/ndoa.
By the way mimi pia nko hapa Dom kama vipi nicheck tufahamiane uniungishe kwenye biashara yangu ya majeneza
 
Hawa wadogo zetu hasa wa jinsia zetu hizi hukumbana na ushawishi sana hasa ukitegemea ni hapo dodoma yaani hamu ya kubaki huko ikaniisha kaniambia ni babati manyara.
Itakua ndio huyu nimepanda naye Basi anarudi Dodoma akitokea moshi maana inaonekana haelew chochote anauliza maswali Mara babat Dom napata gari? Mara nitafika saa ngapi Dodoma.. oyaaa ukiona manyoya
 
Raha ya chuo ni pamoja na kuwa na muda wa kupata hitaji la mwili la kujamiana,hii hupelekea akili za wanafunzi kuchangamka na kufanya vizuri katika masomo.

Cha kuzingatia fatilieni performance yake tu katika masomo mengine mwachieni mwenyewe maana ni mtu mzima.
 
Yap, Na jamaa wa COED wamebeba videm vyao na alteza, haya Mambo Basi tu.
 
Tulia tuichakate papuchi yake.
Ila wanafunzi wa vyuo vya Dodoma wanatiwa aisee. Sijui ni ugumu wa maisha au nini.
Mkuu sio Dodoma tu vyuo vingi ni madanguro yaliyochangamka we nenda Chuo cha Ushirika Moshi, UDSM, CBE nk.
Vibinti vunagawa mbususu kama kawaida tena vitoto vingi ni "Double line" kabisa
 
Mleta mada ni jinsia ya Ke, angalia michango yake hapa jf!
 
Mkuu sio Dodoma tu vyuo vingi ni madanguro yaliyochangamka we nenda Chuo cha Ushirika Moshi, UDSM, CBE nk.
Vibinti vunagawa mbususu kama kawaida tena vitoto vingi ni "Double line" kabisa
Double line ndio nini?
 
ACHA. ATOMBEKE ASEEEEEE SI AMESHAVUKA 18 + AU!!! ACHA WIVU WA KIJINGA WEEEEE
 
Mipango wamefungua chuo wana mwezi sasa hiyo field umepangwa 😂😂
 
Kitu kizito cha kichwa hapo bnt kashaolewa ila sio kivilee... Au basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…