Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

Hao wanajinasibu kutengeneza faida kubwa, nyingine ndo hizo za makato ya ajabu ajabu ......nchi hii kuna watu wanatafuta umaarufu na teuzi kwa sifa za kijinga sana.
 
Rudi zama za mawe za kati. Tunza pesa Yako ndani kama kuna usalama na kama huna tamaa ya kuzidokoa dokoa. Benki siku hizi kwa mwezi wanakata takriban Shs 2000/= za uendeshaji. Hii ni nje ya gharama za kufanya miamala. Kama akaunti Yako haiingizi mapato mara kwa mara ni hasara kwako Mtu wa savings
 
Kuna watu wanauliza jamaa ka~screenshot vipi?...nadhani itakuwa alitumia smartphone mbili,moja kuingia kwenye acc yake na nyingine kupiga picha
 
Hiyo ni gharama za uendeshaji,nadhani ni pamoja na kadi.

Yah,wanajipakulia tu minyama😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…