Kuacha malaya au chagudoa yahitaji busara sana na kadiri unavyozidi kukutana nae ndivyo unavyozidi kujihatarisha. Fanya hivi, kama ulikuwa na girlfriend hapo kabla muite aje akutembelee na mruhusu akae hata wiki moja kwako. Nenda nae out na rudi usiku, fanya hivyo huku ukijenga taswira kichwani kuwa huyo chagudoa ni hatari kwako na maisha yako ya baadae baada ya siku tatu utaanza kumuona mtu wa kawaida sana, hivyo ndivyo nilikuwa nafanya mimi nikigundua demu asiye mwaminifu. Kumbuka kuachana na huyo chagudoa hakutokufanya ulazwe hospital na ukiona huwezi kuvumilia tabia na mienendo yake hamia sehemu nyingine. Mkwara wa kwamba atajiua ashakuona una vinasaba vya Ubushokeshoke hivi.