Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

ibra87 katika penzi zito na kahaba..teh teh!

Kwa nini ulianza mahusiano na mtu bila kujua angalau ABC kumhusu? Labda kama na wewe ulitaka hit, otherwise ulikosea.
Ukirudi nyuma namna hiyo haitamsaidia, msaidie kuanzia hapo alipo sasa afanyeje!
 
Kuhusu CHRISTINA wangu huko sina mashaka. Licha ya Kupatwa na hili janga lakini still natimiza wajibu wangu kama baba.

Kuhusu Condoms hilo sio la kuuliza MKUU

Aise!!pole
 
nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Duh una umri gani? Tuanzie hapo! Pia una shughuli ya kufanya? Huo muda ambao yeye anarudishwa nyumbani wewe huna mahali pa kwenda! Hebu nakushauri tafuta shughuli ya kufanya usijitafutie Bp bure!
 
..Siyo Jenerali Galadudu Wewe,..
 
We umeshapigwa shuntama sio bure,,,kama walivyosema wengine oa tu na umhudumie ataacha hiyo kazi,, wengi wanafanya kwa dhiki na ugumu wa maisha
Shemu ni Rahisi kumtia kofi MP wa jeshi kuliko mimi kumuacha huyu. Ingawa sijaongea naye kutwa nzima lakini hapa nilipo nahisi kuungua
 
hakikisha akili yako haiendeshwi na nafsi" kupenda changudoa ni sawa na mapenzi ya kitunguu bora ulizwe na penzi kuliko kulizwa na mdudu wa karne
 
Dem anatoka kugongwa na ww dushe linasimama unakwea?? Huna kinyaa? Kabalehe ukubwani shida sana haya endelea kujisifia udhaifu na ufala
 
Ivi wewe unaakili timamu kweli kwanza cha kufanya sasa ivi kapime maan sidhani tena kama wewe n mzima kuanzia afya yako mpka ajili,ukigundua una maambukizi naomba na iyo nyumba ama kabisaa acha kuendekeza tamaa za ngono wewe utakufa vibaya sana ,,Ningekuwa karibu ningekunasa ata vibao shenzi kabisaa ayaa fanya haraka nlichokwambia [emoji21][emoji21]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…