Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Anza kuchonga jeneza. Ushskufa!! Ukimwi! !!
 
Kuna mambo kama matatu
1.ulikuwa mpweke na bado ni mpweke
2.huna ujasiri wa kumface mwanamke unaempenda ndio maana ukapewa shavu na mtoto wa mwnye nyumba.
3.huna nguvu ya kufanya maamuzi kuhusu future yako na yeye pia amekujua kwamba hawezi kukutegemea so bora aendelee maana huna msimamo
Ushauri
Tafuta binti mwingine ambae angalau ni decent anzisha mahusiano huyo utamuacha.
 
Nitajaribu kulifanya hili kwa mbinu ambazo hatoweza kugundua
 
nimeupokea ushauri wako nitalifanya hili. kuna wakati huwa ananipa IMANI na kuonyesha mahaba mazito hasa akiwa namimi, lakini akiondoka yale yote haya kumbuki
 
ibra87 katika penzi zito na kahaba..teh teh!

Kwa nini ulianza mahusiano na mtu bila kujua angalau ABC kumhusu? Labda kama na wewe ulitaka hit, otherwise ulikosea.
He wanted to hit and run...

Akakuta Manka amepaka ulimbo akanasa..

Toa msaada mtani, jamaa ajinasue.
 
uliliepuka vipi mkuu?
Mm niliekutana nae, club flan Sinza. Siku hiyo nimeenda na bro ametoka South. Namuonesha viwanja. Mida ya saa nane tukawa tunatoka nikamwona binti mrembo sanaaa na mdogo kama miaka 18 au 19 hivi, nikashuka eti nayumbisha nimempenda, akakubari kuingia kwenye gari mpaka lodge.
Siku nikachukua namba namuita mda nnaotaka, nikaaanza michakato ya kumpeleleza bila yeye kujua, nikagundua paka, akaja akaniambia. Nikajikuta naendelea kumpenda aisee. Nikaanza mara namuonga simu mara nini. Kipindi icho nipo ofisi flan nyeti. Akawa anaforce nimtafutie issue ya kufanya nimuoe.
Nilichokifanya, niliblock namba yake na kuifuta na sms zake zote. Nilimsahau kwa lazima.
 
Yeah nimemchunia na simsemeshi hata sms sijamtumia. Roho imeniuma sana
Kama bado umemchunia na yeye amekausha basi endelea kumchunia kwa wiki moja hadi mbili...ukifanikiwa hapo basi huna hata haja ya kuhama...utakuwa umemuonyesha kwamba unaweza kuishi bila yeye na baadae tafuta mwingine anayekufaa zaidi na kata kabisa mawasiliano nae.
 
Hama hapo hamna kitu atakachofanya utakonda kwa kukodolea changu kaamua kutoa papuchi yake.

Hutoweza kuvumilia maana unapenda wewe ungetakiwa upige na kuondoka
 
Kwanza hongera kwa kuwa mkweli kwamba unampenda changudoa na kwa maelezo yako nadhani pia na yeye anakupenda.Hapa kuna mawili Mkuu moja umshawishi aachane na hiyo biashara yake ili muendelee na penzi lenu (Je, utaweza kumtimizia matakwa yake kwa pesa atakayoikosa kwa kuachana na uchangudoa?) au uendelee kumpenda huku ukiendelea kuumia moyoni kila umuonapo akishushwa na wateja wake karibu kila asubuhi baada ya kugegedwa usiku kucha.

Maamuzi ni yako moyo wako na akili inabidi viwe page moja ili uweze kuamua nini cha kufanya. Kila la heri na baraka.

nipo makini katika kujilinda. Lakini hainiondolei ukweli kwamba nampenda Huyu binti
 
Akuombe samahani kwa lipi Mkuu wakati hiyo ndiyo shughuli yake inayompatia kula yake? Hata kama atakuomba samahani itakuwa ni ya kinafiki na baadaye tena leo huyoooo anaingia kwenye night shift.

nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
 
Mburaa... Mmeku we endelea tu kupiga kwanza UKIMWI wa siku hizi hats hauwi kama wa zamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…