Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajaribu kulifanya hili kwa mbinu ambazo hatoweza kugunduaPole sana mkuu...cha msingi ni kuhama hiyo nyumba...tafuta nyumba ya mbali na hapo unapoishi kwa sasa kisha siku ya kuhama unamvizia akitoka na jamaa zake we unahamisha vitu vyako ili asije akakufatilia unakokwenda kuishi kwa kuepuka usumbufu
Unampenda ndio lakini hakufai kwa maisha yako ya baadae huyo...ni ushauri tu lakini mtendaji mkuu ni ww mwenyewe hapo.
nimeupokea ushauri wako nitalifanya hili. kuna wakati huwa ananipa IMANI na kuonyesha mahaba mazito hasa akiwa namimi, lakini akiondoka yale yote haya kumbukiKuna mambo kama matatu
1.ulikuwa mpweke na bado ni mpweke
2.huna ujasiri wa kumface mwanamke unaempenda ndio maana ukapewa shavu na mtoto wa mwnye nyumba.
3.huna nguvu ya kufanya maamuzi kuhusu future yako na yeye pia amekujua kwamba hawezi kukutegemea so bora aendelee maana huna msimamo
Ushauri
Tafuta binti mwingine ambae angalau ni decent anzisha mahusiano huyo utamuacha.
Teh teh teh...nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
He wanted to hit and run...ibra87 katika penzi zito na kahaba..teh teh!
Kwa nini ulianza mahusiano na mtu bila kujua angalau ABC kumhusu? Labda kama na wewe ulitaka hit, otherwise ulikosea.
Kwi kwi kwi kwi kwi..Tukio Kama Hili Kitaalamu Linaitwa KUPATWA KWA AKILI.
Mm niliekutana nae, club flan Sinza. Siku hiyo nimeenda na bro ametoka South. Namuonesha viwanja. Mida ya saa nane tukawa tunatoka nikamwona binti mrembo sanaaa na mdogo kama miaka 18 au 19 hivi, nikashuka eti nayumbisha nimempenda, akakubari kuingia kwenye gari mpaka lodge.uliliepuka vipi mkuu?
Kama bado umemchunia na yeye amekausha basi endelea kumchunia kwa wiki moja hadi mbili...ukifanikiwa hapo basi huna hata haja ya kuhama...utakuwa umemuonyesha kwamba unaweza kuishi bila yeye na baadae tafuta mwingine anayekufaa zaidi na kata kabisa mawasiliano nae.Yeah nimemchunia na simsemeshi hata sms sijamtumia. Roho imeniuma sana
Vipi Sister Mbona Kicheko Sana Au Na Wewe Pia Umepatwa?Kwi kwi kwi kwi kwi..
nipo makini katika kujilinda. Lakini hainiondolei ukweli kwamba nampenda Huyu binti
Tukio Kama Hili Kitaalamu Linaitwa KUPATWA KWA AKILI.
nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Yani Dushelele Linataka Kuzama Mtoni Bila Kujari Kama Una Mamba Wala Viboko. Ama Kweli Kupatwa Kubaya Sana.Lol! Kupatwa kwa Dushelele.
nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Mburaa... Mmeku we endelea tu kupiga kwanza UKIMWI wa siku hizi hats hauwi kama wa zamani!Wasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI