MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

Kaka sorry hii dawa inatibu endapo mtu akawa na tatizo la urology ?
kama una tatizo la msongo wa mawazo, hii hali haitaisha, tafakari kitu kinachokupa msongo wa mawazo achana nacho utapona! Nasisitiza.
 
Kaka necha kivipi aisee
Tatizo limetutesa sana nyumbani hilo dawa zinazotajwa humu asilimia kubwa tukazitumia lakini wapi! Tukifika umri fulani linakata lenyewe mpaka leo

(Mimi na ndugu zangu tuliozaliwa pamoja hayupo asiyepitia kukojoa kitandani na tena hata kukata kwake tatizo hilo hayupo aliyepona akiwa chini ya miaka 10 wengine mpaka miaka 16-17 ndo mtu akaacha kukojoa
 
Pole kwa hiyo shida mkuu.

Advance nilisoma na jamaa alikua analimwaga sema ye alikua muongeaji saana hivyo kumjua haikua rahisi na ilikua humkuti kitandani kwake labda usiku mnene tu, so kumjua mmiliki wa kile kitanda haikua rahisi hata kidogo jamaa alikua mtu usieweza kumdhania kabisa.

Umejaribu tiba ipi na ipi mkuu, huenda kukawa na soln humu.
 
Wife wangu hajawah kuninyima confidens mkuu,wiki za nyuma jimekojoa mkojo mwingi sana kaka.
Wife akapendekeza tutoe godoro nje tulianike.
Mimi nikagoma kwa kwel majirani sumu
Sasa mkuu huko chumbani si kutakua na harufu sana.Wife wako anakuvumilia sana.
 

Kujikojolea ni hali uliyoanza nayo utotoni au ukubwani au ni endelevu tangu enzi na enzi?
 
Inashusha sana heshima lakini nasikia dawa zipo
 
The connection ya kwato na kutokojoa how au ni saikolojia tu ukiamini ni dawa basi inakutibu
 

Mwanamke kukaa na siri ni sawa sawa na kushikilia sufuria yenye moto, muda tu utaongea
 
Kujikojolea ni hali uliyoanza nayo utotoni au ukubwani au ni endelevu tangu enzi na enzi?
Mkuu nakumbuka tokea utotoni nilikuwa najikojolea ktandan,sio k2wmba limewnza ukubwwni.
Ila zamani ilikuwa kwa wiki nakojoa siku labda 4 siku hizi kwa mwezi au miezi mitatu inaweza kunitokea mara moja,au wkt mwingine inapita mpka miez sita mpaka najua sina ttzo,ila siku likinipata ndio najua shida haijaesha
 
Sijajarb tiba yyte ile mpaka sasa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tukufunge chura kiunoni sasa. Ndio dawa ya vikojozi
 
Duh pole sana kuna jamaa alikuwa anatokea mwanza nilisoma nae advance alikuwa mtu peace sana na mkarimu hanaga noma na mtu habagui wala nn nimeishi nae safi kumbe alikuwa na tatizo hilo
siku moja aliniambia kuwa alikuwa na tatizo hilo na alisoma boarding huko kwao mwanza na alienda nalo mpaka akakata Tamaa kabisa kwa nn aliambia alisema tangu aje advance alikojoa mara 2 tu basi ndani ya mwezi ila huko alipotoka anaweza piga hata hat trick yaani siku tatu mfululizo kwa mwezi anaenda hata mara 20 au zaidi Kati ya siku 30

Jamaa kadiri alipokuwa anakaa pale tatizo lilipungua ila jamaa anasema alishatumia dawa mpaka akaona basi mpaka tunamaliza miaka 2 akawa kapona kabisa hadi kaenda chuo kamaliza hana tatizo kabisa

Anasema Pona yake ni kwenda advance na kubadili mazingira aliniambia mm na mshkaji tulikuwa tunashare matukio Kama story tu na jamaa alikuwa mlalavi sana na msafi sana sio mchoyo anakuja na dagaa anagawa wote kwao pia naona pesa ipo
 
So howabout me mkuu nichange mazingira ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…