Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama una tatizo la msongo wa mawazo, hii hali haitaisha, tafakari kitu kinachokupa msongo wa mawazo achana nacho utapona! Nasisitiza.Kaka sorry hii dawa inatibu endapo mtu akawa na tatizo la urology ?
Tatizo limetutesa sana nyumbani hilo dawa zinazotajwa humu asilimia kubwa tukazitumia lakini wapi! Tukifika umri fulani linakata lenyewe mpaka leoKaka necha kivipi aisee
Sasa mkuu huko chumbani si kutakua na harufu sana.Wife wako anakuvumilia sana.Wife wangu hajawah kuninyima confidens mkuu,wiki za nyuma jimekojoa mkojo mwingi sana kaka.
Wife akapendekeza tutoe godoro nje tulianike.
Mimi nikagoma kwa kwel majirani sumu
Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.
Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana.
Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto najiuliza kama naota au live, kisha najiridhisha ndotoni kwamba hapa sioti halafu nakojoa mkojo karibia kuumaliza wote kitandani bila kushtuka.
Lakini HII HALI HUNITOKEA MARA MOJA MOJA PENGINE NAKAA MIEZI SITA,AU MITATU NDO HUTOKEA MARA MOJA.
Inaninyima raha sana mimi nikienda ugenini siwi huru, naweza nikakataa kunywa maji saa 10 jioni ili nikwepe fedheha.
Natamani kuvaa condom nikienda ugenini ili nikikojoa mkojo usifike kwenye godoro.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI, NAZIDI KUWA MKUBWA SITAKI AIBU KABISA
Hii kitu uliyosema na avatar yako vina akisiNunua pempazi
The connection ya kwato na kutokojoa how au ni saikolojia tu ukiamini ni dawa basi inakutibuZamani nilisikia wakisema dawa ni mguu wa ng'ombe zile kwato unazichoma then unatwanga zinakuwa unga, unga wake unalamba.
Ni miaka mingi iliyopita ngoja nitajaribu kupiga simu huko nyumbani ngaa wengi waliishaondoka kwenda Mbinguni naamini kwa waliobaki sitakosa wa kunisaidia jibu.
Pia tafuta mwombaji anayeaminika ili muombee hilo tatizo.
Pole.
Katika wote walioshauri hakuna aliempa pole mkeo.
Kwa niaba ya Ke wote humu , Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kumpa Hongera wifi na pole kwa kukuvumilia na kukutunzia siri hakika friji lake linagandisha....maana shilingi ingegeuzwa angekua na mke mwenza zamani sana.
Mkuu nakumbuka tokea utotoni nilikuwa najikojolea ktandan,sio k2wmba limewnza ukubwwni.Kujikojolea ni hali uliyoanza nayo utotoni au ukubwani au ni endelevu tangu enzi na enzi?
Sijajarb tiba yyte ile mpaka sasaPole kwa hiyo shida mkuu.
Advance nilisoma na jamaa alikua analimwaga sema ye alikua muongeaji saana hivyo kumjua haikua rahisi na ilikua humkuti kitandani kwake labda usiku mnene tu, so kumjua mmiliki wa kile kitanda haikua rahisi hata kidogo jamaa alikua mtu usieweza kumdhania kabisa.
Umejaribu tiba ipi na ipi mkuu, huenda kukawa na soln humu.
Jaribu ndgu yangu, ila kwa kuanza ungeenda hospitali kwanza.Sijajarb tiba yyte ile mpaka sasa
So howabout me mkuu nichange mazingira ?Duh pole sana kuna jamaa alikuwa anatokea mwanza nilisoma nae advance alikuwa mtu peace sana na mkarimu hanaga noma na mtu habagui wala nn nimeishi nae safi kumbe alikuwa na tatizo hilo
siku moja aliniambia kuwa alikuwa na tatizo hilo na alisoma boarding huko kwao mwanza na alienda nalo mpaka akakata Tamaa kabisa kwa nn aliambia alisema tangu aje advance alikojoa mara 2 tu basi ndani ya mwezi ila huko alipotoka anaweza piga hata hat trick yaani siku tatu mfululizo kwa mwezi anaenda hata mara 20 au zaidi Kati ya siku 30
Jamaa kadiri alipokuwa anakaa pale tatizo lilipungua ila jamaa anasema alishatumia dawa mpaka akaona basi mpaka tunamaliza miaka 2 akawa kapona kabisa hadi kaenda chuo kamaliza hana tatizo kabisa
Anasema Pona yake ni kwenda advance na kubadili mazingira aliniambia mm na mshkaji tulikuwa tunashare matukio Kama story tu na jamaa alikuwa mlalavi sana na msafi sana sio mchoyo anakuja na dagaa anagawa wote kwao pia naona pesa ipo