MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.

Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana.

Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto najiuliza kama naota au live, kisha najiridhisha ndotoni kwamba hapa sioti halafu nakojoa mkojo karibia kuumaliza wote kitandani bila kushtuka.

Lakini HII HALI HUNITOKEA MARA MOJA MOJA PENGINE NAKAA MIEZI SITA,AU MITATU NDO HUTOKEA MARA MOJA.

Inaninyima raha sana mimi nikienda ugenini siwi huru, naweza nikakataa kunywa maji saa 10 jioni ili nikwepe fedheha.

Natamani kuvaa condom nikienda ugenini ili nikikojoa mkojo usifike kwenye godoro.

WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI, NAZIDI KUWA MKUBWA SITAKI AIBU KABISA
Hapo mambo ya majini tafuta dawa itakusaidia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.

Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana.

Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto najiuliza kama naota au live, kisha najiridhisha ndotoni kwamba hapa sioti halafu nakojoa mkojo karibia kuumaliza wote kitandani bila kushtuka.

Lakini HII HALI HUNITOKEA MARA MOJA MOJA PENGINE NAKAA MIEZI SITA,AU MITATU NDO HUTOKEA MARA MOJA.

Inaninyima raha sana mimi nikienda ugenini siwi huru, naweza nikakataa kunywa maji saa 10 jioni ili nikwepe fedheha.

Natamani kuvaa condom nikienda ugenini ili nikikojoa mkojo usifike kwenye godoro.

WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI, NAZIDI KUWA MKUBWA SITAKI AIBU KABISA
Kuna tiba niliwahi iskia enzi hizo ila sharti anayetibiwa asiijue maana akiijua siyo tiba tena.
Inacheza na saikolojia ya mwathirika
 
Pole sana.
Jaribu kufanya rope skipping, na pia jaribu kufanya Kegel exercise. Muhimu kabla ya kulala usali na ukiamka asubuhi sali. Mungu atakuponya.
 
Anza kwa kuvaa pampers, huku ukijaribu(ukijifunza) taratibu jinsi ya kucontrol hizo ndoto
 
Hapo ni kua mnaamshana usiku, inaonesha wewe mvivu kuamka kama ulivyoandika unakua katikati ya ndoto na reality ina maana mkojo ukikubana unahisi uvivu kuamka ukijiaminisha ni ndoto na hapo unakua unaota upo sehemu unakojoa kumbe kweli wajikojolea,
Mnunue cover/mpira ili kunusuru godoro na harufu mbaya humo ndani,

Pole sana kwako na Pole nyingi kwa Mkeo.
 
Aisee mkuu tumia njia 2 zifuatazo katika kutibu hilo tatizo lako

1.Kunywa maji yaliyo oshewa mchele kila siku jioni kwa muda wa mwezi 1

2.Kupiga punyeto kila siku ambayo utakuwa unakunywa hayo maji ya mchele
-style ya kupiga hiyo punyeto isiwe kama unachua uume wako ila style yako ya punyeto iwe unaminya minya misuli au mishipa ya uume mpk unamwaga

Tatizo la kujikojolea kwa mwanaume mara nyingi linatokana na kuna baadhi ya mishipa au misuli kwenye uume ipo very weak

Ukifanya kama nilivyokuelekeza kwa mwezi mzima......utakuja kunishukuru
 
Utakuwa na matatizo fulani kwenye mishipa ya ubongo wako kwenye kusambaza taarifa mbalimbali kwenye mwili wako ,nenda hospital daktari anaweza kukusaidia hiyo sio hali ya kawaida.
Ni kweli kabisa. Aende kumtafuta daktari bingwa wa mfumo/njia ya mkojo (UROLOGIST) atamsaidia sana.
 
Ingia YouTube.

Tafuta mazoezi ya Kegel na uanze kuyafanya kwa kuzingatia kila hatua. Yataimarisha mishipa ya huko chini.

Na uonane na urologist mzuri uone kama kuna ishu zingine.

Pole sana
 
Umesema mara nyingi huwa inakutokea mida ya saa kumi au kumi na moja,sasa nashauri weka alarm mida ya Tisa usiku halafu nenda kakajoe ujitathimini Kwanza uone maendeleo yake,unajua wakati mwingine ni subconscious mind yako tayar isharekodi hiyo kitu na kuiwezesha Hali hiyo kutokea,ndio maana nakushauri uweke alarm saa Tisa hlf uone kama kuna tofauti yote,kama swala la kisaikolojia basi subconscious mind yako itajiprogram upya.

Haya mambo ya kukojoa Yana sababu nyingi Sana,mengine huenda kwenye kibofu kuna matatizo,lkn kama ingekuwa ni kila siku ningehisi hivyo,imenikumbusha binti yangu wa kufikia alikuwa anakojoa kitandani ilimtokea akiwa darasa la Saba,nikawa smtm namchapa tukihisi ana uvivu wa kuamka,tukahisi labda ana mdudu,tukatumia maji ya Mchele,ndevu za mahindi lkn hola.

Mwisho tukaenda hospitali,akakutwa kibofu kama kimejikunja hivi,kafanyiwa operesheni mdogo,Mashallah mpaka Leo miaka kama mitano tatizo limeisha kabisa.
 
Vaa condom tu mzee, maisha yana mengi sana ya kuumiza kichwa, sio hilo la kufungulia koki
 
Muelekeze Afanye hivi kwa hiyo miguu ya ng'ombe: Achome kwa moto hilo kanyagio(Asichemshe) halafu abandue kwato kwa uangalifu. Ndani ya hizo kwato zilizobandulia kuna kitu kama aina ya mnofu rangi ya kijivu. Hicho ndio dawa. Unakula unapoenda kulala kila siku kwa muda wa siku tatu. Asante.
Asante, atakuwa ameelewa.
 
Fanya Hivi tafuta mahindi yaliyotoa ndevu chukua zile ndevu weka kwenye maji yawe ya yaliopoa au ya uvuguvugu baada ya hapo kunywa siku mbili au Tatu then uje unishukuru 0654467798
Chukua hii dawa mkuu
Humu kumekuwa na utoto mwingi sana siku hizi wengi hawako serious kabisa

Kuna maelezo ya dawa niliyapata ngoja niangalie tena alafu nikutumie huenda pia ikakusaidia
 
Tafadhali nenda hospital kaeleze tatzo lako kuwa muwaz. Hili tatzo la kukojoa ni fedheha kubwa kuliko. Kipindi nasoma boarding advance kuna jamaa alikua anakojoa ktandani. Asee alifedheheka sana,,,kuanika godoro hawez, akiliacha pale bwenini linatoa harufu kali kama unavojua tena mkojo wa mtu mzma unanuka vibayaaa. Akaenda hospital inaitwa mawenzi kama sikosei,,,, ipo moshi pale,,, kapewa vidonge akanywa kapona fresh mpaka leo hii
 
Back
Top Bottom